Unakuta ni jirani yako au baba mwenye nyumba yako alafu anajifanya demu ndani ya jfHIvi wanaotumiaga JF ni wakina nani mana sijawah kutana hata bahat mbaya mtu anatumia JF sehem yoyote. mfano fb au whatsap au ista watu unaeza kutana nao wakiitumia
uliijuaje jf?? Me kuna mtu alikua akinieleza vimbwanga vya hum sometimes ananionesha tunacheka na comments za watu had siku moja nikaomba anifungulie id na mm na kunielekeza namna ya kuitumia,since then nimepata marafiki wengi ambao tunafahamiana nje ya jf and a man of my life.HIvi wanaotumiaga JF ni wakina nani mana sijawah kutana hata bahat mbaya mtu anatumia JF sehem yoyote. mfano fb au whatsap au ista watu unaeza kutana nao wakiitumia
Kumbe we ni ndo nimekufungulia akaunt?? Password ulibadili kama nilivyokuelekeza?uliijuaje jf?? Me kuna mtu alikua akinieleza vimbwanga vya hum sometimes ananionesha tunacheka na comments za watu had siku moja nikaomba anifungulie id na mm na kunielekeza namna ya kuitumia,since then nimepata marafiki wengi ambao tunafahamiana nje ya jf and a man of my life.
Sio wewe na id yake naifaham.Kumbe we ni ndo nimekufungulia akaunt?? Password ulibadili kama nilivyokuelekeza?
Mi nimegundua usipotakata mtoni huwezi takata bafuniNimegundua ulichoandika kina ukweli ndani yake
Nimegundua muda si mrefu umeitoa siri yetu...uliijuaje jf?? Me kuna mtu alikua akinieleza vimbwanga vya hum sometimes ananionesha tunacheka na comments za watu had siku moja nikaomba anifungulie id na mm na kunielekeza namna ya kuitumia,since then nimepata marafiki wengi ambao tunafahamiana nje ya jf and a man of my life.
Nimegundua kuwa 99.9% ni Watanzania.Ukichunguza kwa makin 70% ya member wako against serikali yetu,
30% ya member wandered kuwa jinsia ya kike ,kumbe madume,
50% ,Wanapretend ni diasporas kumbe wako kwa mtogole
80% ya member upretend wana informers vitengo nyeti kama ikulu na TISS
20% ndo verified users
10% ni maskini hawana majumba na gari, ila 90% uandika story za kupretend maisha powa,
60% wanasema wana elimu ya chuo kikuu kumbe wengine wako sekondari
15% wana akaunt zaid ya moja uanzisha uzi na kujijibu
60% ya wanaume MMU husema wanapiga show ya kibabe kitandani,
50% ya wasichana husema hawapendi hela sana kwenye mapenzi
20% wanasema walitendwa na mabwana zao,
75% ya wanaume MMU hujifanya hawaumizwi na mapenzi kumbe ujasiri ni wa kwenye JF tu haha yeah
Je we umegundua nini??
Nshatongozaga mchuchu mmoja... kuja kustuka ni mfanya usafi ofisini kwetu wakati alinidanganya yeye ni mwalimu Agha Khan.... shetani aliniokoa kwa kumwomba namba yake. Ile najaribu kuipiga mara likatokea jina lake... kumamae walahiUnakuta ni jirani yako au baba mwenye nyumba yako alafu anajifanya demu ndani ya jf
Mhhh inahusiana nn na jf babuMi nimegundua usipotakata mtoni huwezi takata bafuni
JF ni secret society kama "Freemasons"HIvi wanaotumiaga JF ni wakina nani mana sijawah kutana hata bahat mbaya mtu anatumia JF sehem yoyote. mfano fb au whatsap au ista watu unaeza kutana nao wakiitumia