Utafiti: Wanawake wengi wanaogopa wadudu

Sharif

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2011
Posts
2,450
Reaction score
1,781
Wakuu habari za leo,

Uzoefu katika maisha ni moja ya taasisi kubwa za kielimu.Nimeishi miaka mingi na kugundua mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na ujasiri wa wanawake mbele ya wadudu wadogo.

Wanawake wengi wanaogopa wadudu wafuatao:
1- Mende
2- Chura
3- Kiwavi
4- Jongoo

Kwa kawaida mwanamke anaeogopa wadudu,anapokabiliana nae akiwa katika mazingira yafuatayo,tegemea ajali ama mayowe:

1- Akiwa anaendesha gari
2- Akiwa ameshikilia sahani ya chakula mkononi
3- Hata akiwa anafanya mapenzi [emoji12]

Juu yenu iwepo amani.
 
Ila dyudyu hawaogopi!!!
 
Wanawake kweli waoga sana hata ukichukua jani ukamgusa nalo shingoni kwa nyuma na hata hajajua nini ataruka na mayowe ya kutosha na hapo hadi wanasahaugi ni taulo tu wamejifunguka baada ya kutoka kuoga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…