Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
- Thread starter
- #21
Lakini mimi naamini hii kitu mkuu korbotoangalau huu utafiti utafanya watu watakuwa na afya.
Lakini mimi naamini hii kitu mkuu korbotoangalau huu utafiti utafanya watu watakuwa na afya.
😀😀😀😀Mbona wazungu sasa wana kijiharufu flani hivi hakieleweki Ana wakija huku kwetu ndo wanakuwa hivi? Yaani harufu kama ya banda la kuku...utafiti huu niufanya mimi wautoe ktk media pia.......wanaume wa dar mnakula mboga mboga au ndo nyie mmeambiwa mna harufu nzito
Matunda na mbogamboga vina mchango piamara six pack ,mara mchicha sijui matembele,Kitu ni pesa tu hayo mengine hata uwe na one pack (kitambi) utapendwa tu.
Mbona unashangaa Jimmy georgeKheeee...
hilo ndo kubwaTafuteni hela.
Hata uwe hauli Kitu Ukiwa na hela hakuna mwanamke atakukataa.
Hivyo vingine huwa wanavifikiria Baada ya kuwa na hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaonekana mmeo mlevi sana juzi tu hapa umeleta Uzi kuhusu mabwana walevi ,comment zako nyingi zinahusu kudis walevihii not applicable kwa wnaume walevi
Tafiti zingine bhanaUtafiti mpya uliofanywa Australia umeonesha kuwa wanawake wengi huvutiwa zaidi na wanaume wenye tabia ya kula mboga za majani kwa wingi.
Timu ya Watafiti kutoka Macquarie University, Australia wamebaini katika Utafiti wao kuwa wanaume ambao hutumia mboga za majani na matunda kwa wingi huwa na rangi nzuri ya ngozi, hunukia vizuri na wanakuwa na afya nzuri zaidi kuliko wanaume wanaokula vyakula vya wanga kwa wingi.
Watafiti hao pia wamebainisha kuwa wanaume ambao wanapenda kula nyama kwa wingi miili yao hutengezeka harufu nzito ambayo haijabainishwa kuwa ni nzuri au mbaya wakati wale wanaopenda kula vyakula vizito vya wanga hutoa harufu isiyo nzuri.
![]()
Source:millard ayo
Taratibu mama...!!hii not applicable kwa wnaume walevi
wanywaji , sio walevi, hebu rekebisha kaulihii not applicable kwa wnaume walevi
Sina hakika na hili.huo ndio ukweli mumu
Alafu izi tafiti kipind cha jk mbona azikuwepo!!!Mnataka watu wale Matembele kwa wingi [emoji3][emoji3].
Hizi tafiti zitauwa watu sasa
Hahaa...Alafu izi tafiti kipind cha jk mbona azikuwepo!!!
Kwa huyu jamaa tafiti zpo nyingi 2
Sent using Jamii Forums mobile app