kigamboni nasikia kuna hospitali unahudumiwa na wanawake watupu na w.me na wanaume wenzao jina nimelisahauMimi naamini ktk uhalisia ambao Mungu alituumba nao .( kujifungua kawaida ) japo hali ya kukaa mtupu jamani huku madaktar na wanafunzi wamekuzunguka ukiwa mtupu ndio hua inaniwehua
Hapo utakuta kama nako huna pesa ya maana utaishia kusikia tu . madr wa kiume wanakuepo japo kuna kastara kdg tofauti na hizi hospital za tupate sote. Yan unatandazwa na kujiona huna thamani tena kabla ya kifokigamboni nasikia kuna hospitali unahudumiwa na wanawake watupu na w.me na wanaume wenzao jina nimelisahau
Hiyo ni Roho kamili toka kwa jamaa uliyemuweka kwenye profile picture yako mkuuThread 'Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida' Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida
Kwahiyo?Hiyo ni Roho kamili toka kwa jamaa uliyemuweka kwenye profile picture yako mkuu
Inabidi ingolewe kwa Jina la Yesu.Kwahiyo?
It reminds me the great sorrow in my life! I lost my lovely wife at Kairuki hospital, when that surgery complicated! I don't recommend it[emoji24][emoji24][emoji24][emoji137]Imegundulika kwamba, wanawake (hasa hawa mabinti) wanapenda sana kujifungua kwa njia ya upasuaji badala ya njia ya kawaida.
Lengo lao ni kutunza maumbile /u-sichana wao kwa ajili ya kuwavutia wanaume. Sababu ya pili ni kukwepa uchungu wakati wa kujifungua...
Na mbaya zaidi, inasemekana wao ndo huongea na wauguzi ili recommendation itoke ya kujifungua kwa upasuaji.
Mabinti hawaogopi kujifungua kwa njia ya upasuaji, ndo maana unakuta mtu anazaa watoto maximum 2 tu biashara imeisha.