MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
Ngoja nifanye mpango nilete kitu na mie
Dada bado kumbe mim mdogo ako nimekutangulia
Ngoja nifanye mpango nilete kitu na mie
Kwa hali ya sasa ya maisha acha iwe hivyo mkuu, watu wanafanya mambo kwa timing sana, maisha yamebadilikawanawake wa kitanzania nao wanapenda kusoma sana mpaka wanasahau kuzaa?
kweli jamani? mbona tungekuwa kama ujerumani...!
Kwa hali ya sasa ya maisha acha iwe hivyo mkuu, watu wanafanya mambo kwa timing sana, maisha yamebadilika
Dada bado kumbe mim mdogo ako nimekutangulia
Ngoja nifanye mpango nilete kitu na mie
wanawake wa kitanzania nao wanapenda kusoma sana mpaka wanasahau kuzaa?
kweli jamani? mbona tungekuwa kama ujerumani...!
Dunia ya tatu huku ndio mtu kama huyu anaweza kuitwa daktari anaeonekana ana nia nzuri sana ya kuwasaidia wanawake tena mtaalam wa kuheshimika. Sehemu zingine ambapo wanawake wameshaamka usingizini huwezi kusema wanawake wasisome "masomo yasiyoisha" au wasikae sana maofisini bali wabaki nyumbani kuzaa zaa watoto, I mean, wanaweza kutaka kukufanyia background check wajue umefika fikaje kwenye udaktari maana umetoa hoja yenye wazimu. Lakini huku the third world kama Kenya aaah, ni sawa tu, bado wamelala.Mtaalamu wa afya ya uzazi mjini Nairobi, Daktari John Ong'ech aliyehojiwa kuhusu hoja hii alinukuliwa akisema kuwa ''wanawake kwanza wanataka kusoma masomo ambayo hayaishi, daima wako madarasani na ofisini na kuahirisha kuzaa mtoto wao wa kwanza hii ni hatari kubwa.''
Excel ofkoz,,,why not,umenichekesha sana mdau,tembelea mahostel uone walivyojaa,hawa wa kwetu wanaogopa maziwa kulala tu
Hao walikuwa na imani wakimtegemea mungu na kuwa na imani kubwa sasa kizazi chenye iman haba hiki na magonjwa lukuki hata huyo sara ilikuwa mpango wa mungu hebu niambie baada ya kuzaa mtoto isaka alizaa nan mwingine? kizazi hiki wanachoropoa mimba wakiogopa maisha madhala yake huonekana baadaye