Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
Tusiarakishane bana. Maisha yenyewe haya unamalizia chuo na kukaa nyumbani miaka hata miwili ndo upate kazi ya kueleweka. .. Hapo majukumu kibao,watoto now days st kayumba aziwafai akiwa tu baby class tatakiwa nitenge kiasi cha kutosha kwa ajili ya ada.
Ngoja tu nichelewe mwanangu asitaabike.
We Utataabika Ili Mtoto Wako Asitaabike! Mtataabika Wote Kwani Madhara Hayo Huambatana Na Vifo, Ukifa Ukamuacha Mdogo Tayari Yatima, Au Unaweza Kufa Naye Wakati Unajifungua, ASIYECKIA LA MKUU,,,,