Magufuli, CCM hawana kazi tena, kwishaaaaaa wezi wakubwa hawa.. !!
Lowassa hadi sasa katika MEDIA ZOTEEEE, yuko above 80%.......average za kura za maoni....!!
Magufuli akipata 18% ya total vote ya Urais... ashukuru Mungu..!! CCM hali ni mbayaaaa, mbayaaa sanaaa....!!! kifo lazima... imeharibu nchi hii kila kitu
umekula magadi ya kupishana na tafiti ,hivi wapi nyinyi mnazindua kampeni zenu.