Utafiti wambeba Magufuli urais 2015

Utafiti wambeba Magufuli urais 2015

Ni takwimu mpya chini ya Taasisi ya Assasi za dini" wananchi wengi ni vijana, ambao wanamsapoti lowasa 80"
 

Attachments

  • 1440216380310.jpg
    1440216380310.jpg
    26.9 KB · Views: 214
Population-?
Margin of error?
Confidence level?
Sample size?
Methodology?
Tools?

Margin of error = +/- 6
Confidence level? = 5%
Sample size? = 2560
Methodology? = Random
Tools? = open ended questionnaire
[/QUOTE]
 
Ebu njoo utuelezee vizuri tujue tunachangia nini!!!
 
... Lowassa Ndiye Rais Wa Tanzania, Tutampigia Kura Za Kutosha
 
Magufuli, CCM hawana kazi tena, kwishaaaaaa wezi wakubwa hawa.. !!

Lowassa hadi sasa katika MEDIA ZOTEEEE, yuko above 80%.......average za kura za maoni....!!

Magufuli akipata 18% ya total vote ya Urais... ashukuru Mungu..!! CCM hali ni mbayaaaa, mbayaaa sanaaa....!!! kifo lazima... imeharibu nchi hii kila kitu
haa haa we ndo uchwara kweli nan anakuambia vyombo vya habari vinapiga kura???na wanaopiga kura hawana kelele ni tunachukua tunaweka baaasi wenye pressure na kujaza watu sijui kusombelea watu mtajua wnyw!!ningeishaur tume ya uchaguzi kusiwe na kampeni kura zipigwe hata kesho!!
 
Hawa watafiti uchwara wasifananishe urais na kupiga ngoma,kama utafiti wao ulikuwa umejikita kumtafuta rais wa wapiga ngoma ni kweli Magufuli atakuwa rais wao tena kwa asilimia 100.
 
utafit huo haukupitia vijiwe vya wamachinga na bodaboda mana ndo ofisi za ukawa.
 
Back
Top Bottom