Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,246
- 13,486
Naheshimu tafiti... Tafiti ni njia mojawapo ya kuuweka ukweli bayana...
Lakini tafiti hizi za uchaguzi ambazo hazioneshi idadi ya kura zitakazoharibika na zile zitakaibwa ni za kupuuza kwani zinawapotezea watu muda muhimu wa kufanya kazi...
Hii ni bila kusahau tafiti zingine ambazo utakuta mhusika huyo huyo ni mteule wa serikali, msemaji wa chama, muangalizi wa uchaguzi, mtafiti mwandamizi, mchambuzi wa masuala ya kisiasa, n.k. Sasa unajiuliza mtu huyu huyu mmoja anashindwa nini kuegemea upande unakotoka kitumbua chake...???