Utafiti wambeba Magufuli urais 2015

Utafiti wambeba Magufuli urais 2015

Kama ana 45% atashindaje? Angekuwa na zaidi ya nusu ya kura ndio angekuwa na hakika. Sidhani kama unaweza kuwa utafiti wa maana. Huwezi kuwa na idadi kubwa ya undecided voters miezi miwili kabla ya uchaguzi
 
Kwa Nn usifanye utafiti zomeazomea ya kijani na njano inatokana na Nn ili uje na tafiti xa kipumbavu hivi hapa hakuna mjinga cku hizi kati ya vyama mfu kwa sasa ccm ndo chama kinachochukiwa kuliko vyama vyote barani Africa hutaki kuamini Fanya tafiti kwanza kwa kuwahoji wananchi live pasipo kupepesa macho majibu utayapata na utafiti wako wakununuliwa shame upon ya face an taaasi iliyokuwa na vifaa
 
Ur such a dumb..!!!

Look here...!!! Opinion polls zote Lowassa yuko Robo Tatu zaidi ya Magufuli....!! meaning Lowassa yuko mara 3 zaidi ya Magufuli....!!!!

Maana ww huna data, kazi yako kuuza u.chi mjini..!!

1: Easy polls: 7,801 voters

Lowassa 78 %

Magufuli 19%

2: Jamiiforums:

Lowassa 85%

Magufuli 13%

3: Mayocoo

Lowassa 79%

Magufuli 21%


Nenda Face book, What's up groups nyingi Lowassa is above 80%....

Go and search...acha umbea huku..!!!

Kiutafiti, ukiona mpinzani wako ana KUZIDI KURA ZA MAONI ZAIDI ya ROBO TATU au above 75% hapo ujue ushindi ni LAZIMA... in other words mshindi kashajulikana...!!!

Wataalam wa UTAFITI WATAKWAMBIA HAYO.... and they call it... LANDSLIDE VICTORY, i.e 75% and above..!!

Sasa Free Opinion Polls zote, Lowassa is above 80% in average, Magufuli ashinde toka wapi...? Au aongoze toka wapi. .?

So acha kujipa FALSE HOPE huku.....na imebakia only 2 months kabla ya kupiga kura, matokeo haya ya kura za maoni hayawezi badilika sana...ndio maana REDET ya CCM na SYNOVATE hawatoi utafiti wao wa kimagumashi mwaka huu, sbb WANAJUA MSHINDI NI LOWASSA TU...

CCM ndio mwisho wake.... kafanye uchunguzi kidogo tu wa hizo data nimekupa...acha upuuzi...!!
Hizo kura za maoni za mtandao ndio unazishikia bango? Bibi yako ama shangazi yako kule wishiteleja ama ikungulyabashashi naye kashiriki kwenye kura za maoni? Jipeni moyo tu ila matokeo yakitoka mtulie msianze kusema oooo tumeibiwa kura. Ni asilimia ngapi wapo kwenye mtandao na wanapiga kura za maoni?

Kaeni mkao wa kushangazwa kwa kuwa kura hazipigwi jamiiforum wala facebook! Huku hata Wachina wanaweza kupiga kura za maoni lakini tarehe 25 October hawatakuwa na nafasi, ndipo mtaposema mbona kule faceboook tulikuwa tunashinda ama kule JF tulikuwa tunashinda imekuwaje tumeshindwa kwenye sanduku la kura!!
 
1: Jamiiforums
Lowassa .... 85%
Magufuli... 13%
2: Easy polls
Lowassa.... 78%
Magufuli.... 19%
3: Mayocoo
Lowassa.... 76%
Magufuli .... 24%
 
View attachment 278949


Utafiti waonyesha Magufuli ana uwezo mkubwa wa kuwa Rais Na Mwandishi Wetu WAKATI kesho Chama Cha Mapinduzi(CCM) kikitarajia kufanya uzinduzi wa kampeni zake kwenye viwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam, Taasisi ya Maendeleo, Vijana, Uongozi na Utawala Bora(YDG) imetoa utafiti na kuonyesha mgombea wa nafasi ya Urais wa CCM, Dk. John Pombe Magufuli anaongoza. Utafiti huo ulitolewa jana mjini Dar es Salaam na Katibu Mtendaji wa taasisi hiyo, Christopher Maganila, ambaye alisema katika utafiti walioufanya kuwa endapo uchaguzi mkuu ungefanyika leo, Dk Magufuli angeshinda nafasi hiyo. Alisema matokeo hayo, yanaonyesha Dk. Magufuli angeshinda kwa asilimia 45, huku mgombea wa CHADEMA Edward Lowassa angekuwa na asilimia 10.5, huku asilimia 35 wakisema hawajaamua mgombea gani anaweza kuwa Rais kwa kuwa ni bado mapema mno. Matokeo hayo pia yalionyesha kuwa wagombea wengine wangepata asilimia 0.1 hadi 5 huku asilimia 8 wakionekana wakisema hawajui ni mtu gani anafaa kuwa Rais kati ya wagombea waliochukua fomu za kuwania nafasi hiyo. “Huu ni utafiti huru na umefanikiwa kufika kwenye kila mkoa lakini kwa wilaya moja kwa kuwa tumeamua kuwahi ili kuona mwamko wa wananchi katika kupiga kura na kuchagua mgombea wanayemhitaji,’’alisema. Hata hivyo, Katibu huyo mtendaji alisema sababu nyingi walizoonekana kuzitoa wananchi kuwa Dk. Magufuli atakuwa mtendaji na mtu mwenye upeo mkubwa wa kufanya kazi endapo akipewa ridhaa. Kwa mujibu wa Katibu huyo, alisema anaamini uchaguzi wa mwaka huu, utakuwa huru na haki kwa kuwa wananchi wameonekana kuwa na mwamko katika kuchagua kiongozi atakayewaongoza.
Unaota ndoto za mchana na tafiti zenu zilizojaa uongo.nendeni jangwani mkampigie kampeni.
 
Zimekuwepo sababu kadhaa ambazo watu kadhaa wamejaribu
kuziweka hapa wakionyesha ndio chanzo cha watu kufurika
kuhudhuria uwepo wa Lowassa mahali fulani baada ya kutangaza
kujiunga na UKAWA/CHADEMA.
Ni kuwa kabla palikuwepo na kukata tamaa kwa kiwango kikubwa
kwa Watanzania kuelekea ndoto yao ya kuiondoa ccm katika
kutawala. Watanzania waliivumilia ccm kuwa inaweza kufanya
mabadiliko yake ya ndani ambayo yangeweza kuleta maisha bora
kwa Watanzania. Kusubiri kwa mabadiliko haya kumekuwa siku
zote hakufanyiki na sana sana kinachofanyika ni kuimarisha
mfumo ambao muda mrefu sana Watanzania waliisha ukinai. Mtu
anazaliwa katika mfumo huo unao mpatia umaskini hadi anazeeka
katika huo mfumo.Watanzania walifika mahali wakajiimanisha
kuwa sio rahisi kuiondoa ccm katika utaratibu huu wa kupiga kura.
Katika utaratibu huu wa amri na kanuni za Demokrasia za ccm
ambazo zimekaa kisanii. Kujua kuwa waliisha kata tamaa
Watanzania wengi wamekuwa hawaoni sababu hata ya kwenda
kupiga kura kwa muda mrefu sasa. Mfano ni mwaka 2010, walio
piga kura ni chini ya nusu ya waliokuwa wamejiandikisha.
Watanzania ni wapenda amani. Amani ya Watanzania ilikuwepo
hata kabla ya Uhuru. Mkoloni aliwakuta Watanganyika wakiwa na
amani kiasi cha kuwatia bakora huku wakiwa kimya. Hivyo
Watanganyika/Watanzania wanahitaji fulsa ili wafanye mabadiliko
ya amani na si rahisi wakalazimisha mabadiliko kwa kutumia
siraha hata uwe umewaonea kwa kiasi gani.
Mwaka 1995 wakati Mrema alipojitokeza Watanzania waliona ni
fulsa ya pekee ya kuiondoa ccm. Kwa namna ccm ilivyofanya
hakuna anayeelewa kilichitokea na kila mmoja alibaki na sababu
zake. Hata mwaka 2010 mambo yalikuwa hivyo hivyo.
Sasa ni kuwa ametokea Lowassa. Watanzania wanaona hii ni fulsa
nyingine ya kutimiza ndoto zao.
Kinacho waaminisha kuwa ndoto yao sasa inaenda kutimia ni:
1. Nyerere alisema atakaye yaleta mabadiliko ambayo Watanzania
watakuwa wanayataka atatoka ccm.
2. Watanzania wanaamini Lowassa atakuwa anajua siri ambazo
ccm huwa wanatumia kuvuka kizingiti cha kukataliwa na wapiga
kura lakini bado ikaonekana wameshinda. Watanzania wana imani
kuwa iko siri ya ushindi tofauti na kura zinazopigwa
3. Watanzania wengine hudhani huwa kuna kuzidiwa kifedha kitu
ambacho Wapinzani huwa hawana sasa wanatumaini hili Lowassa
atalitatua maana nyuma ameonyesha kuweza ktk harambee
kadhaa.
4. Mikakakati mingi ya kushinda aliyo nayo Lowassa.
Sasa ukichanganya na kiwango ambacho Cdm wamefikia, kiwango
ambacho CDM ilihamasisha watu kujiandikisha, Watanzania
wamepata shauku ya kuyaona mabadiliko.
Ndani ya shauku hii Watanzania huwezi kuwambia chochote.
Hakuna propaganda itakayobadili mwelekeo. Sasa mafuriko
hayajaonekana subiri Kampaini zianze.
Natabiri mwaka huu pia kutakuwepo na mafuriko ya wapiga kura
kujitokeza kwenye kupiga kura.
 
Population-?
Margin of error?
Confidence level?
Sample size?
Methodology?
Tools?[/QUOTE

Ngoja tusome Exective Summary kwanza. Mambo ya standard error baadaye. It may not even havt to be necessary since this looks like a no contest.
 
Watafiti wawe wanafanya kaz za wananchi sio kampen kama hawawez waache hata mtoto mdogo hawez akakubari hilo
 
nashangaa watanzania wanasahau magumu aliyotusababishia edo,leo wanaandamana nae mitaani

Tuwahurumie na tusaidiane kukabili matatizo yanayotukabili kama jamii.Matatzo yametuchanganya japo ni nafuu kubaki na CCM kuliko kumchagua Lowasa.
 
Tuwahurumie na tusaidiane kukabili matatizo yanayotukabili kama jamii.Matatzo yametuchanganya japo ni nafuu kubaki na CCM kuliko kumchagua Lowasa.

kinachoniuma ni uongo wanaousambaza kwa wanatanzania
 
Huwezi kwenda mbinguni kwa nguvu za giza..:mvutaji: Makamanda walipokosea ni kuchukua kibabu kigonjwa chenye uchu wa madaraka. teh teh teh! sijui kaungonjwa gani kale kenye dalili za kutetemeka mikono.....
 
Huwezi kwenda mbinguni kwa nguvu za giza..:mvutaji: Makamanda walipokosea ni kuchukua kibabu kigonjwa chenye uchu wa madaraka. teh teh teh! sijui kaungonjwa gani kale kenye dalili za kutetemeka mikono.....

.... Ni Lowassa Tu Hata Msemeje. Mbona Jk Naye Aliingia Akiwa Na Upungufu Wa Kinga Mwilini Mpaka Akaugua Tezi Jike
 
1: Jamiiforums
Lowassa .... 85%
Magufuli... 13%
2: Easy polls
Lowassa.... 78%
Magufuli.... 19%
3: Mayocoo
Lowassa.... 76%
Magufuli .... 24%

Ben Sanane aliamini hayo ya JF akaenda Rombo muulize kilichomkuta
 
Ccm mnaendelea kuishi kwa matumaini......mtasema mengi tu safari hii.yote tisa ,kumi 25 Oct.
 
Asante kwa KIUTAFITI CHAKO NA KITAASISI CHAKO CHA MFUKONI. This time mtazungumza na kunena kila aina ya MSAMIATI juu ya MH: EDWARD LOWASSA.
Haya KAKOJOE UKALALE.
 
Back
Top Bottom