Wakuu,
Najua inaweza kuwa taarifa mbaya hii kwa baadhi ya watu lakini Utafiti huu umetangazwa muda si mrefu.
Nauambatanisha muda si mrefu
utafiti sio sawa na kuokota chupa za maji za Azam pale Kariakoo.
Tafuta average.
62+65+69=196/3=65.3%
Njooni na tafiti zote mnazozijua. Hata ikibidi Muiteni Obama awafanyie Utafiti.
Tafiti yoyote yenye kupingana na maoni ya Wananchi waliowengi hatuitambui, hatuielewi. Mtakanyagana hapa na tafiti uchwara, ukweli ni kwamba wananchi kwa Maelfu tumeamua, Mwaka 2015 mwisho wa ccm kuiona Magogoni!! Hutaki buruza ngumi kwenye Lami!!
BACK TANGANYIKA
Plz kwa namna yeyote,ita pres conference fasta kesho asubuhi KWA MATOKEO YA UTAFITI WA KARIAKOO ili SYNOVAT & twaweza wajikosoe!.
Tafit kama ya k'koo ndo ztatupa majibu kamili kwa nchi nzima.
Nasemaaaa,tukutane october 25
Ndo tatizo linapoanzia maelfu hamtoshi. Mngekuwa mamilioni maana li nchi kubwa hili haliishii njia panda ya Himo.Njooni na tafiti zote mnazozijua. Hata ikibidi Muiteni Obama awafanyie Utafiti.
Tafiti yoyote yenye kupingana na maoni ya Wananchi waliowengi hatuitambui, hatuielewi. Mtakanyagana hapa na tafiti uchwara, ukweli ni kwamba wananchi kwa Maelfu tumeamua, Mwaka 2015 mwisho wa ccm kuiona Magogoni!! Hutaki buruza ngumi kwenye Lami!!
BACK TANGANYIKA
Tafiti hizo za kuibeba ccm, ndio znazosababisha ukawa kukubalika siku hadi siku. Yaani wanazidi kuwa juu na pia mnawaongezea nguvu za kupambana mara dufu
Baregu badala ya kuweka mezani huo sijui utafiti ama hisia za jamaa yake wa Oxford yeye anaongeaongea tu bila tarakimu utafikiri konda wa NYEHUNGE eti itashinda kwa tofauti ndogo ya kura!!! WTF.
Anayejua mahali ilipo ofisi ya huyu mzee aweke ramani nimpeleke mbwa wangu akanyee hapo.
Wakuu,
Najua inaweza kuwa taarifa mbaya hii kwa baadhi ya watu lakini Utafiti huu umetangazwa muda si mrefu.
Nauambatanisha muda si mrefu
Somebody had to pay them, na kwa mtu au taasisi yeyote ya hapa Tanzania ambayo ingewalipa LAZIMA ingehusishwa na upande mmoja. Sioni tatizo hapo, cha msingi ni kuziangalia hizi tafiti very seriously na kwa ukawa kujaribu kuongeza watu na kushawishi hao undecided, na hawa undecided ni wale welevu, hawafuati mkumbo, maana wa mkumbo mpaka sasa wameshadandia gari wote bila kujia gari linaenda mbele au linarudi walikotoka au halina injini, hawa watapatikana kwa kuwalisha hoja nzito na zinazotekelezeka, na ukweli ni kwamba mpaka sasa ktk hoja kati ya JPM na EL ni JPM ndo anashinda vita vya kutoa hoja. Hapa hamna cha rock star, lazima uwamwagie sera nzito