Utafiti wa msomi

Utafiti wa msomi

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Msomi mmoja alikuwa anafanya
utafiti, akamchukua chura
akamwambia 'Ruka', chura akaruka
mita 4, msomi akaandika katika
kitabu chake kuwa chura mwenye
miguu minne huruka mita 4. Kisha
akamkata mguu mmoja na
kumwambia 'Ruka' chura akaruka
mita 3, msomi akaandika kuwa
chura mwenye miguu mitatu
huruka mita 3. Akamkata mguu
mwingine na kumwambia aruke ,
chura akaruka mita 2, akaandika
kuwa chura mwenye miguu miwili
huruka mita 2, kisha akamakata
mguu mmoja, na chura akaruka
mita moja, msomi akaandika chura
mwenye mguu mmoja huruka mita
moja. Hatimae akamkata mguu wa
mwisho, na kila alipomwambia
'Ruka' chura hakuruka, msomi
akaandika kuwa katika utafiti wake
amegundua chura akikatwa miguu
yote huwa anakuwa kiziwi.
 
Naomba usimwite hilo jina, watafiti hua tuna akili zetu sio kama yeye
 
lol...thats funny, nilitegemea utafiti ungekuwa tafauti
 
Lmfao:sly::sly:😀😀😀:sly::sly::sly:
 
willing-researcher.jpg
 
huyu hana tofauti na wale wasomi wenye digrii wanaokubali kufanya kazi ya utabiri wa hali ya hewa,ETI KUTAKUWA NA MVUA ZA HAPA NA PALE utafikiri mvua huwa zinayesha kila mahali kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom