Utafiti wa Kisayansi: "Kuna maisha baada ya Kifo"

Kwa maana hiyo hakuna kufa. Siamini kama kuna kitu kinaitwa maisha baada ya kifo, maana kinachokufa kinakuwa hakipo popote pale.

Kama kuna maisha mengine tofauti na hapa duniani, maana yake hatufi bali tunahama tu kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
 
Kama mie tu vitu vilivyomo tumboni hata sijui vianafaje kazi na hata sina sence yakuweza kusema sasa ngoja nitikise ini basi mambo in mengi siku ya kupata kujua yote haya na dunia itakiwa mwishi
 
Ni kweli kuwa kuna maisha mengine baada ya kifo, ispokuwa yanagawanyika upande mmoja ni mahala pema na upande mwingine ni mateso. Kwa mujibu wa mhubiri mkuu William Marrion Branham mtu anapoondoka ktk mwili huu akiwa ametimiza masharti ya Mungu kikamilifu upata mwili mwingine ambao huitwa theophan kumsaidia mtu kuishi ktk hali iyo isiyotegemea hisi tano za mwili wa damu na nyama. Katika hali hii mtu upata amani na pumziko asitake kurudi. Anafananisha mwili huu na ule mwili aliokuwa nao Yesu baada ya kufufuka ambao ulikuwa na uwezo wa kupita kokote bila kizuizi na kutembea miles kama upepo. Ispokuwa kwa yeyote hasiye timiza masharti ya Mungu kikamilifu yy hapati theophany nafsi yake huangaika bila kupata pumziko hvyo hukosa amani na kuteseka sana. Na mtu uyu anapokuwa ktk hali ya kufa uangaika sana maana anaona mateso anayoyaendea ugoma lakin inakuwa haiwezekani tena. Hivyo kuna maisha mengine baada ya kufa
 
Kuhusu hii mada utajua kuwa uhai sio kupumua na kuflow kwa dam katika mwili uhai ni roho mtu anaweza akafa hata kama. Vifaa vya kumuwezesha kupumua na kuflow kwa dam katika moshipa vitaekwa na MTU anaweza kuwa hai hata baada ya mapigo ya moyo na pumz kusimama kinachosbindikana katika kukishinda kifo ni installation ya roho katika mwili ambao a had yake imefikia
 
Wakuu! Naomba tujadili hii kitu maana kila mtu atakufa tu.Iwe isiwe!

Wote tunafahamu kabisa kwamba kuna siku tutazimika kama mshumaaa! Yaani tutazikwa na kuoza kama mbwa anavyokufa na kuoza. Kama mbuzi anavyokufa na kuoza ama kuliwa!

Kufa ni lazima. Issue ni kwamba huko uendako kukoje?Maisha yakoje na nani ambaye anaweza kutueleza hali halisi ya huko baada ya kufa!

Ukifa inakuwaje na nini kinaendelea baada ya kifo?

Wataalamu tuelezeni tukifa inakuwaje na kukoje huko mbele za haki!

Ni hayo tu.
 
Ungeuliza kuna nini baada ya kifo? siyo maisha baada ya kifo! Kifo ndo mwisho wa maisha huwezi kuzungumzia maisha baada ya kifo. unakufa unabakiza historia ambayo nayo hufutika baada ya muda mfupi na inakuwa as if hukupata kuwepo duniani.
 
Back
Top Bottom