Hahaaa. Wanawake sio kwa kutupa mzigo mzito hivyo huku nyie wenyewe mmejipa unafuu wa hali ya juu.
Na hiyo namba mbili kwa wanaume mmh. Wenye nazo wengi hawapendi kuwa na familia zaidi ya kupenda starehe labda useme wale wenye pesa za kawaida, ila hao wenye nazo wanaoa ila mpaka umri uende kwanza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.