Utafiti: Uwezekano(Probability) wa mtu kuoa au kuolewa

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Baada ya kufanya utafiti na kuridhika nao sasa tumeamua kuutoa mbele ya watanzania! Kama hujui hesabu hasa probability sasa iko hivi, probability ni uwezekano wa kitu fulani kutokea sasa leo tunaenda kuzungumzia uwezekano wa mtu kuolewa au kuoa:

WANAWAKE

1. Ukiwa una tabia nzuri ila shape na sura haujafinikiwa uwezekano wa kuolewa ni asilimia 40%

2. Ukiwa una tabia nzuri shape nzuri ila sura haukufanikiwa uwezekano wa kuolewa ni asilimia 70%.

3.Ukiwa na sura nzuri shape nzuri na tabia nzuri uwezekano wa kuolewa ni asilimia 85% kama hauna mtoto. Na kama una mtoto ila haukai naye ni asilimia 65%

4. Kama umezaa mtoto na uko unaishi naye yaani hana pa kwenda basi uwezekano wa wewe kuolewa na mtu ambaye sie baba wa mtoto ni 30% .

5. Ikijulikana wewe ni kicheche mtaani kwenu haujatulia basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 5%. Ila uwezekano wa kupewa mimba na kuachwa ni asilimia 80%.

6. Ikijulikana wewe ni bikra mbele ya watu na wakajua wakawa na uhakika basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 93.5%.

Kwa wanawake ikumbukwe kila degree unayoongeza kwenye kusoma inapunguza uwezekano wa kuolewa sasa basi:

7. Kama una degree moja uwezekano wa kuolewa ni asilimia 70%

8. Kama una masters basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 45%.

9. Kama una PHD basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 15%

10. Kama umekuwa Profesa basi dada yangu uwezekano wa wewe kuolewa ni asilimia 2%.

11. Kama una matege na ndo changamoto yako basi dada ukivaa sketi siku zote uwezekano wa kuolewa unakuwa asilimia 70%. Lakini kama unavaa suruali kuonyesha matege yako miguu inazunguka zunguka kama feni basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 3%. Na hawa wanaume watakaokuoa ni wale vipofu!

12. Kama umezalishwa watoto kama watatu na hujaolewa basi wewe uwezekano wa kuolewa ni asilimia 2%.

13. Kama unashinda online kazi kupost picha insta, whatsapp, facebook, panyabuku na countabuku basi uwezekano wa wewe kuolewa ni asilimia 15%.Yaani kila mwanamume anahisi wewe ni mali ya uma.

14. Kama wewe ni kibonge sana basi uwezekano wa kuoelewa ni asilimia 50%. Punguza kula dada yangu. Ukishaolewa kula nenepa mpaka upasuke.

15.Kama wewe ni mwembamba sana basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 40. Nenepa kidogo!

16. Kama unatumia simu ya TECNO uwezekano wa kuolewa ni asilimia 70%.

17. Kama unatumia Iphone basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 10%.

18. Kama una marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike. Basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 30%. Utasema hao ni marafiki ila kumbuka wanaume hawaaminianagi. Wewe pia utaonekana ni mali ya uma hata kama sio!

Naona mpaka hapo mtakuwa mmeelewa maana ya probability na mnaweza kucalculate za kwenu. Haya tuamie kwa jinsia zilizobaki

WANAUME
1. Kama hauna hela uwezekano wa kuoa wewe ni asilimia 0%

2. Kama una hela basi uwezekano wa wewe kuoa basi ni asilimia
100%.

Simple sana kwa mwanaume
 
Eti Kama unatumia Iphone basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 10%


Haikatai
 
Namba 6 (kicheche) umekosea hawa huwa hiyo tabia inawafikisha kuolewa tu, kwa kuwakuta domo zege na wanaume wa wapenda kukesha.
 
hahaaaaa daahh kwahiyo hao wenye iPhone vipi ''!??
sema kuolewa now days kumebaki kuwa issue muhimu sana ..kwa wanawake ambao ni tegemezi "" ila kama mwanamke una PHD yako unahangaika kuolewa tena ili ugundue nini ??!
 
hahaaaaa daahh kwahiyo hao wenye iPhone vipi ''!??
sema kuolewa now days kumebaki kuwa issue muhimu sana ..kwa wanawake ambao ni tegemezi "" ila kama mwanamke una PHD yako unahangaika kuolewa tena ili ugundue nini ??!
Maprofesa wenyewe pia wanajua umuhimu wa ndoa, wameolewa Ref. Prof Ndalichako. So kusoma kukikutenga na uhalisia wa maisha, ukaikosa faraja na support ya Mme/Mke basi wewe ni mjinga kuliko wote na elimu itakuwa ndiyo mchawi wako
 
Maprofesa wenyewe pia wanajua umuhimu wa ndoa, wameolewa Ref. Prof Ndalichako. So kusoma kukikutenga na uhalisia wa maisha, ukaikosa faraja na support ya Mme/Mke basi wewe ni mjinga kuliko wote na elimu itakuwa ndiyo mchawi wako
kwahiyo kina Nicola Tesla ..isaq newton "" leonard da Vince ..albert eistein na yesu ..walikuwa wajinga kuliko wote na elimu ndio uchawi wao "" sasa cnafuu na wao hawakufunga mana na hayo mambo ..lakini michango yao imeweza kuibadilisha dunia ""??
huyo ndali chako nani anayemjua hata hpo Uganda tu "" ??
 
kwahiyo kina Nicola Tesla ..isaq newton "" leonard da Vince ..albert eistein na yesu ..walikuwa wajinga kuliko wote na elimu ndio uchawi wao "" sasa cnafuu na wao hawakufunga mana na hayo mambo ..lakini michango yao imeweza kuibadilisha dunia ""??
huyo ndali chako nani anayemjua hata hpo Uganda tu "" ??
Ukumbuke unapomzungumzia Yesu humzungumzii mwanadamu! Lakini wewe ni mwanadamu.

Kuhusu hao wajinga uliowataja Nicola,Newton,Leonard & Einstein jiulize ktk maisha yao mbali na hayo waliyoyafanya kwa dunia, wao na familia zao wamefaidikaje? Je kuna raha gani waliyoipata ktk maisha yao ikiwa hawakuujua umuhimu japo wa kuwa na familia? Je unahakika sexually walikuwa active?
In short wewe mwanadamu ,kama sexually uko active na ukaamua kukaa pasipo ndoa kwa kigezo cha elimu yako ujue umepotea, utaishia kutia aibu mtaani kwa kuitwa sugar mummy/daddy na kuwa na watoto ambao inawezekana wasikutambue sasa ktk yote hayo sijui ni sifa+civilization (usomi)+heshima au ujinga(uncivilization)+aibu+ uzinifu+moto wa milele!
Kuhusu Ndalichako, ni mfano notable wa wanawake walio na zaidi ya PhD(Professor) lakini wameolewa, PhD anayo na huna uwezo wala mandate ya kui-disqualify. Anakuonesha kuwa kuwa na PhD siyo mwanzo wa kutoujua umuhimu wa ndoa

So mimi siuoni uafadhali ktk maisha ya hao watu(wanadamu) ulowataja
 
Ukumbuke unapomzungumzia Yesu humzungumzii mwanadamu! Lakini wewe ni mwanadamu.

Kuhusu hao wajinga uliowataja Nicola,Newton,Leonard & Einstein jiulize ktk maisha yao mbali na hayo waliyoyafanya kwa dunia, wao na familia zao wamefaidikaje? Je kuna raha gani waliyoipata ktk maisha yao ikiwa hawakuujua umuhimu japo wa kuwa na familia? Je unahakika sexually walikuwa active?
In short wewe mwanadamu ,kama sexually uko active na ukaamua kukaa pasipo ndoa kwa kigezo cha elimu yako ujue umepotea, utaishia kutia aibu mtaani kwa kuitwa sugar mummy/daddy na kuwa na watoto ambao inawezekana wasikutambue sasa ktk yote hayo sijui ni sifa,civilization (usomi), heshima au ujinga(uncivilization), aibu na uzinifu!
Kuhusu Ndalichako, ni mfano notable wa wanawake walio na zaidi ya PhD(Professor) lakini wameolewa, so anakuonesha kuwa kuwa na PhD siyo mwanzo wa kutoujua umuhimu wa ndoa
kwa hiyo mkuu kwa upande wako wewe raha ya dunia nikuweza kuwa na familia tu basiii """?? kina Nicola hawakuwa wabinafsi ndio maana hawakuwa wanahitaji muda wa kuwa na familia waliamini kuwa wao wamekuja kwa lengo moja tu lakuifanya dunia iweze kuwa yenye mabadiliko na of course leo mimi nawew tunaicheza ngoma yao iwe kwa kupenda ama kutopenda ..naona hapo kwnye avatar yako kuna pictr ya Gari of course hiyo nimoja ya kazi za magenius kama Tesla ...unautumia Umeme kwaajili ya manufaa yako na kizazi chko na taifa zima kwaujumla yeehh hiyo ndio kazi ya mjinga Tesla ...haya nionyeshe faida ya mbongo mwenye faida ya watoto wengi aliyefaulu kuufikia hata angalau nukta ya uwezo wa mjinga tesla mbongo ambaye anakufnya uifurahie kazi yake walau hata yakugundua sindano ""

katika maisha kila mtu anavipaumbele vyake ..sio lazima kipaumbele chako kiwe na mantiki kwa wengine as long as anaishi nakuiletea dunia jambo lenye tija basii mtu huyo mmoja nimuhimu zaidi kuliko watu mia wasio weza kuifnyia dunia kitu " maana watakachokuwa wanakijua wao nikuzaliana tu pasipo kujua kuwa wanawapatia watu shida nakuwafnya wawaze namna yakuwasaidia "" kwa mfano "" unapita mahali waona binadaamu wanatembea kwa miguu kwa umbali wa muda mrefu " unatambua kuwa wanachangamoto ya miundombinu ama usafiri ..kwa haraka haraka unagundua kuwa wingi wao sio bure maana ameshindwa kujitikeza hata mtu mmoja miongoni mwao ambaye ameweza kuwa saidia kuitatua hiyo kero ..ili baada ya miaka ijayo wapate kuiepuka hiyo shida kwa kupata usafiri na kujenga miundo mbinu bora itakayo wasaidia ktika pilika zao sasa hapo faida ya kuzaliana iko wapi au nikuvuta pumzi tu basii """"

ukiwa unafikiria sana sijui kuwa kuwa na familia sijui nikitu bora kuliko kuifanyia jambo dunia huo ni ubinafsi ....unapaswa kuwa na familia sikatai but uitumikie vyema dunia ili uwepo wako upate kuwa na tija kwa wengine ...kwa mantiki hiyo hupaswi kuwabeza wanaoitafuta elimu ..kwa sbabu wao hcho ndio kiapumbele chao kama ilivyo kwako wewe kipaumbele chako ni kuwa na familia ....kuna watu wengine familia kwao ni second priority baada ya elimu hupaswi kuwa beza kabisa ....kwa sbabu michango yao ndio imetufikisha hapa tulipo

nawasilisha ""
 
Back
Top Bottom