Utafiti: Uchu wa ngono Sweden washuka

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
160710130518_sex_640x360_bbc_nocredit.jpg

Image captionWapenzi wanaoshiriki ngono
Taifa la Sweden linazindua utafiti wa miaka mitatu kuhusu maisha ya ngono ya raia wake.

Habari zimechapishwa katika jarida moja zikisema kuwa raia wa taifa hilo wanashiriki ngono kwa kiasi kidogo.

Waziri wa Afya Gabriel Wilkstrom amesema kuwa iwapo msongo wa mawazo ama maswala mengine ndio tatizo la watu kushiriki ngono kwa kiasi kidogo basi hilo pia ni swala la kisiasa.

Amesema kuwa huku jamii ikihusishwa na ngono katika kila kitu kuanzia matangazo,mitandao ya kijamii na katika maisha ya kila siku,swala hilo linakabiliwa na aibu na kutokuwepo katika mjadala wa kisiasa .

Utafiti: Uchu wa ngono Sweden washuka - BBC Swahili
 
Mara nyingi watu wanapokuwa busy kwenye utafutaji wa maisha hilo swala la kukosa hamu ya tendo huwa ni kawaida.
 
Tatizo huko kodi ktkt mshahara ni kubwa mpaka inaudhi. Mtu hela yoote unayotafuta inaishia TRA ya huko kisa eti unapata matibabu ya bure, sasa ukishanitibu hiyo mbunye nitapataje bure bila hata kuibembeleza na mtoko!?
 
Ngoja nikachukue shengen visa......watakua nayo tu nikitua pale Stockholm
 
Tatizo huko kodi ktkt mshahara ni kubwa mpaka inaudhi. Mtu hela yoote unayotafuta inaishia TRA ya huko kisa eti unapata matibabu ya bure, sasa ukishanitibu hiyo mbunye nitapataje bure bila hata kuibembeleza na mtoko!?
Ah ah ah ah
 
Back
Top Bottom