Utafiti nilioufanya kuhusu jf.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,466
25,388
Nimefanya utafiti kwa miezi sita hatimaye nimegundua 98% ya members wote wanaongia humu jf kupitia jukwaa la utambulisho sio wageni bali ni members wakongwe ila wameongeza id mpya .

Members wageni wengi huanza kuchangia mada moja kwa moja kabla hawajajua majukwaa ya humu jf .

Lakini ukiona mtu kaingia jukwaa la utambulisho huku akijiita ni mgeni kaa ukijua huyo sio mgeni bali ni mwenyeji tu anataka apate attention tu basi.
 
sijaelewa hata
18221642_1555769717790109_4147106158594951796_n.jpg
 
Je utafiti wako umebaini kuwa kati ya ID 10 za kike nne zinamilikiwa na wanaume?
 
Back
Top Bottom