Utafiti: Msongo wa mawazo huweza kusababisha Mtu kuota mvi mapema

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,513
9,309
Kulingana na utafiti mpya wa Chuo Kikuu cha Columbia uliochapishwa katika jarida la eLife: wakati chanzo cha mafadhaiko kinapoondolewa, nywele zinaweza kurudi kwenye rangi yake ya kawaida.

Kwa miongo kadhaa tumejaribu kuelewa husiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kuota kwa mvi, na huu ndio utafiti wa kwanza ambao unaonyesha uhusiano wa wazi kati ya mfadhaiko wa kisaikolojia na nywele nyeupe" anasema Martin Picard, mtaalamu wamasuala ya kisaikolojia kutoka Chuo Kikuu cha Vagellos na mtafiti mweza katika uchunguzi huo.

=================

Though the legend is inaccurate -- hair that has already grown out of the follicle does not change color -- a new study from researchers at Columbia University Vagelos College of Physicians and Surgeons is the first to offer quantitative evidence linking psychological stress to graying hair in people.

And while it may seem intuitive that stress can accelerate graying, the researchers were surprised to discover that hair color can be restored when stress is eliminated, a finding that contrasts with a recent study in mice that suggested that stressed-induced gray hairs are permanent.

The study, published June 22 in eLife, has broader significance than confirming age-old speculation about the effects of stress on hair color, says the study's senior author Martin Picard, PhD, associate professor of behavioral medicine (in psychiatry and neurology) at Columbia University Vagelos College of Physicians and Surgeons.

"Understanding the mechanisms that allow 'old' gray hairs to return to their 'young' pigmented states could yield new clues about the malleability of human aging in general and how it is influenced by stress," Picard says.

"Our data add to a growing body of evidence demonstrating that human aging is not a linear, fixed biological process but may, at least in part, be halted or even temporarily reversed."

Studying hair as an avenue to investigate aging
"Just as the rings in a tree trunk hold information about past decades in the life of a tree, our hair contains information about our biological history," Picard says. "When hairs are still under the skin as follicles, they are subject to the influence of stress hormones and other things happening in our mind and body. Once hairs grow out of the scalp, they harden and permanently crystallize these exposures into a stable form."

Though people have long believed that psychological stress can accelerate gray hair, scientists have debated the connection due to the lack of sensitive methods that can precisely correlate times of stress with hair pigmentation at a single-follicle level.

Splitting hairs to document hair pigmentation Ayelet Rosenberg, first author on the study and a student in Picard's laboratory, developed a new method for capturing highly detailed images of tiny slices of human hairs to quantify the extent of pigment loss (graying) in each of those slices. Each slice, about 1/20th of a millimeter wide, represents about an hour of hair growth.

"If you use your eyes to look at a hair, it will seem like it's the same color throughout unless there is a major transition," Picard says. "Under a high-resolution scanner, you see small, subtle variations in color, and that's what we're measuring."

The researchers analyzed individual hairs from 14 volunteers. The results were compared with each volunteer's stress diary, in which individuals were asked to review their calendars and rate each week's level of stress.

The investigators immediately noticed that some gray hairs naturally regain their original color, which had never been quantitatively documented, Picard says.

When hairs were aligned with stress diaries by Shannon Rausser, second author on the paper and a student in Picard's laboratory, striking associations between stress and hair graying were revealed and, in some cases, a reversal of graying with the lifting of stress.

"There was one individual who went on vacation, and five hairs on that person's head reverted back to dark during the vacation, synchronized in time," Picard says.

Blame the mind-mitochondria connection
To better understand how stress causes gray hair, the researchers also measured levels of thousands of proteins in the hairs and how protein levels changed over the length of each hair.

Changes in 300 proteins occurred when hair color changed, and the researchers developed a mathematical model that suggests stress-induced changes in mitochondria may explain how stress turns hair gray.

"We often hear that the mitochondria are the powerhouses of the cell, but that's not the only role they play," Picard says. "Mitochondria are actually like little antennas inside the cell that respond to a number of different signals, including psychological stress."

The mitochondria connection between stress and hair color differs from that discovered in a recent study of mice, which found that stress-induced graying was caused by an irreversible loss of stem cells in the hair follicle.
 
Jinsi msongo wa mawazo unavyosababisha mvi na jinsi ya kuzuia hali hiyo

Kadri umri wa mwanadamu unavyosonga kuongezeka, ni kawaida kwa nywele kubadili rangi na kuwa za kijivu au nyeupe.
Watu wengi hugundua kwamba mvi huanza kuota mapema miongoni mwa watu wanaofanya kazi zilizo na shinikizo sana kama vile miongoni mwa marais, maafisa wakuu watendaji na hata maafisa wakuu wa fedha.

Mpaka sasa hakuna ushahidi wa kutosha kuthibitisha kwamba msongo wa mawazo humfanya mtu kuota kwa mvi mapema.
Lakini wataalamu wanasema hali ya kuota mvi mapema kunaweza kudhibitiwa.

Kwa miongo kadhaa tumejaribu kuelewa husiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kuota kwa mvi, na huu ndio utafiti wa kwanza ambao unaonyesha uhusiano wazi kati ya mfadhaiko wa kisaikolojia na nywele nyeupe" anasema Martin Picard, mtaalamu wamasuala ya kisaikolojia kutoka Chuo Kikuu cha Vagellos na mtafiti mweza katika uchunguzi huo.

Kwa kawaida, watu wa asili ya kizungu huanza kuota mvi wakiwa katika awamu yao ya mwisho ya miaka ya thelathini.

Wale wenye asili ya kihindi huanza kushuhudia hali hii mwanzoni mwa umri wa miaka ya 40, huku Waafrika wakianza kuota mvi kati kati ya miaka ya 40.

Nini kinachozipa nywele zako rangi?

Vifuko vidogo vya vinyweleo vilivyo na seli maalum za rangi huzingira nywele. Seli hizi za rangi zinaitwa melanini. Melanini huipa ngozi na nywele zako rangi. Muda unavyozidi kusonga, vinyweleo hivi vya nywele hupoteza rangi na kusababisha mvi.

Nini kinachosababisha mvi kuota mapema?

Hitilafu ya Jeni

Kwa baadhi ya watu suala la nywele kubadili rangi huwa la kiukoo. Ikiwa wazazi au babu zako walikumbwa na tatizo hili, basi kuna uwezekano mkubwa kwamba wewe pia utashuhudia haya. Kwa bahati mbaya, hakuna jambo ambalo laweza kufanywa kuepuka.
Wanawake wengi hawaukubali muonekano wa mvi kichwani
Upungufu wa virutubisho vya vitamini

Ukosefu wa virutubisho vya kutosha vya vitamin B12 mwilini pia waweza sababisha ngozi na nywele kubadili rangi. Aidha, upungufu huu waweza kusababisha hali ya upungufu wa damu mwilini (ambapo seli za damu hazina himoglobini ya kutosha, kiungo muhimu kinachobeba oksijeni mwilini).

Masuala ya homoni

Iwapo tezi dundumio (thyroid gland) haifanyi kazi ipasavyo, huenda uwezo wa mwili wako kuzalisha melanini ukapungua, na hivyo kusababisha nywele zako kubadili rangi mapema. Tezi dundumio ni kikoromeo kidogo kinachopatikana katika sehemu ya mbele ya shingo lako.

Maradhi yanayotokana na mwitiko wa kinga usio wa kawaida

Katika hali hii, mfumo wa kinga mwilini hushambulia seli zake. Kuna aina mbili katika kitengo hiki; alopecia areata na vitiligo ambazo zaweza sababisha nywele kubadili rangi mapema.

Mhusika akiwa na vitiligo, mfumo wa kinga mwilini hushambulia seli zinazozalisha melanini mwilini. Hii husababisha kuchipuka kwa madoa meupe kwenye ngozi na kuota kwa mvi mapema.

Ikiwa unakabiliwa na ugonjwa wa alopecia areata, nywele hutoweka ghafla na kuota tena na ni hapa ndipo mhusika anagundua kwamba nywele nyeupe zimechipuka.

Uvutaji sigara

Uvutaji sigara una madhara mengi ikiwa ni pamoja na saratani, maradhi ya moyo na mapafu. Aidha, uvutaji sigara unaweza kuhusishwa na kuota kwa mvi.

Rangi za kemikali na bidhaa zingine za nywele

Bidhaa za nywele zilizoundwa kwa kemikali ya 'hydrogen peroxide' zimeonekana kuwa na madhara kwa nywele na zaweza kusababisha kuota kwa mvi.

Sababu zinazopelelezwa

Kuna utafiti unaohusisha tatizo la nywele kubadili rangi mapema na wembamba wa mifupa (osteopenia) na maradhi ya moyo, lakini upelelezi zaidi unahitajika hapa.

Je, uotaji mapema wa mvi waweza kuzuiwa?

Ikiwa hali hii inatokana na jeni, basi jibu ni la. Itakubidi kuzoea mabadiliko ya rangi ya nywele zako.Ikiwa una mvi kisha upake rangi, itakubidi kurudia utaratibu huu zikiota tena.Ikiwa hauna uhakika iwapo matatizo yako ya kiafya yanasababisha kuota mapema kwa mvi, basi enda ufanyiwe uchunguzi wa mwili wote. Ikiwa kuna hali yoyote ya kiafya inayosababisha tatizo hili, basi litahitajika kuangaziwa.Dumisha lishe bora hasa chakula kilicho na viwango vingi vya Vitamin B12: Vyakula kama vile mboga za kijani na vyakula jamii ya kunde kama vile maharagwe vitakufaa. Ikiwa upungufu wa Vitamin B12 mwilini mwako umekithiri, utahitajika kumeza vijalizo.Mbinu zingine ni pamoja na kuacha kuvuta sigara mara moja. Pia, utahitajika kuchagua bidhaa za nywele kwa busara huku ukiepukana na kemikali zinazoathiri ngozi ya kichwani. Lakini ikiwa tayari una mvi, ni vigumu kurejelea hali ya kawaida.
 
Hayati Mwl. J. K. Nyerere alikuwa na msongo wa mawazo!
 
Kuna watoto wako kwenye family zenye uwezo mzuri tu wanaota mvi wakiwa under 18 je huo msongo unatoka wapi, kuna wazee wanaishi kama digidigi madeni lukuki nyumbani hakukaliki, mke moto maisha moto wanaongea peke yao njiani lakini wana nywele nyeusi kama wamezaliwa jana, ...
 
Si kuna sababu nyingine kwenye uzi nimeziorodhesha ikiwemo Masuala ya homoni,uvutaji sigara,kemikali za nywele au umesoma title tu ndugu yaliyomo umeachana nayo
 
Back
Top Bottom