Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

wanawake wanaotoka nje ya ndoa ni wachache kuliko wanaume wanaotoka kwenye ndoa.
Wanaume waliopo kwenye ndoa wanachepuka na wanawake ambao hawapo kwenye ndoa ,kwani ni wengi sana hawapo kwenye ndoa.
Tukizingatia wanawake ni Mara 4 ya wanaume Duniani

Ww ndo umeona hivyo lakin ujue kwamba na ww kwa nanamke haupo peke yako yaan ukweli ndivyo ulivyo
 
Ww ndo umeona hivyo lakin ujue kwamba na ww kwa nanamke haupo peke yako yaan ukweli ndivyo ulivyo

Hiyo tafitu yako ya kilocaly sijui umeitowa wap na wakati hapahapa tanzania unakuta ke anamahusiano zaid ya me wa tatu alafu unasema eti ke wapo mara nne ya me wacha uongo ww
 
Hajawahi tokea mke mmoja kuoa kisheria waume

Wala mwanamke haoi ila anaolewa

Mwanaume anaowa mmoja au zaidi

Mwanamme anaolewa na mume mmoja tu basii

Ni kweli unacho kiongea lakin kuolewa kwa mwanamke hakumzuwii kuwa na michepuko kumbuka
 
Hiyo tafitu yako ya kilocaly sijui umeitowa wap na wakati hapahapa tanzania unakuta ke anamahusiano zaid ya me wa tatu alafu unasema eti ke wapo mara nne ya me wacha uongo ww
kupitia hiyo locally unayoisema.
Mwanamke akiolewa inaonekana kama Bahati ila mwanaume kuoa ni suala la kawaida katika jamii.
Unaskia vijana wa sasa hawataki kuoa na sio wanawake wa sasa hawataki kuolewa.

Zaidi kwa data Zaidi ingia net tafuta population ratio ya dunia
 
Ni kweli unacho kiongea lakin kuolewa kwa mwanamke hakumzuwii kuwa na michepuko kumbuka

Endapo mume ni wa show ya dk moja....mama bado namiwasho kibao fimbo imelala kama mkanda wa salawili

Nihaki kwake kutafuta bakora ya mkwaju mubashara. Afike japo kibo nakuondoa miwasho na mateso ya unyevunyevu.
 
Mhhhh una mambo kaka
 
Mhhhh una mambo kaka

Nikupeana uzoefu na sababu zamsingi kwanini

Uchepukaji jibu kukidhi haja zetu kimaumbile me na ke

Nani anapenda kulala macho/kukesha? Kisa hujapata mwandani!
 
Very true, kwanza kwa mwanaume kuwa na mwanamke mmoja tuu lazima kuna tatizo pahala, either ni mgonjwa ama huna pesa.
Labda km mgonjwa, ila suala la pesa wengne hawahitaj hata pesa, wanataka hogo tuu
 
This is the best comment in this thread. By the way.... Huwa namshangaa sana mwanamke anayekubali kuwa "Mchepuko"... Kwa mwanamume aliyetoka kwa mkewe asubuhi.... Khaaaa!!!!
Usiendelee kushangaa, waulize wanapata nn mkuu
 
Na
Simba dume mmoja anamiliki dazani ya warembo

Swala dume mmoja anamiliki majike zaidi ya mia

Beberu mmoja wa mbuzi anamiliki boma lote

Na binadamu wanaume niwanyama tu....hisia za kuchomachoma zipo sawasawia kama swala au mbuzi dume.

Relux mamii
Wapi umeona mbuzi jike anamilikiwa na beberu mmoja au kuku jike na jogoo mmoja? Ukijifananisha na mnyama basi we mwenyewe na nguvu zako za soda ungekuwa unavizia mabaunsa wakizubaa ndo ugonge huyo mkeo maana hakuna mnyama jike mwenye maamuzi katika suala la kupandiwa yeyote twende tu.ndo ujue katika kujifananisha na wanyama basi wanawake wangekuwa na michepuko zaidi ya wanaume
 
Back
Top Bottom