Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

Utafiti: Kuchepuka kunaongeza self esteem ya mwanaume

Na

Wapi umeona mbuzi jike anamilikiwa na beberu mmoja au kuku jike na jogoo mmoja? Ukijifananisha na mnyama basi we mwenyewe na nguvu zako za soda ungekuwa unavizia mabaunsa wakizubaa ndo ugonge huyo mkeo maana hakuna mnyama jike mwenye maamuzi katika suala la kupandiwa yeyote twende tu.ndo ujue katika kujifananisha na wanyama basi wanawake wangekuwa na michepuko zaidi ya wanaume

Wewe wakuhurumiwa maana hata somo la elimu ya viumbe limekupitia kando

Viumbe wamegawanywa kwenye kingdoms

Kama fungie Kingdom
Plantae kingdom
Salmonella Kingdom
Animalia kingdom nk

Binadam na wanyama wengine wamejumuishwa kwenye Animalia (animals Kingdom )

Wanatabia zao
Kuzaa...reproduction (mjadala wetu upo hapa)
Kutembea. ..locomotion
Kutoa uchafu ...excretion
Kunyonyesha..
Kupumua...respiration
Nk
Kwahiyo binadamu nimnyama kwa sayansi ya viumbe hai yaani Biology

Kama hujijuwi nenda shule utaelewa
 
Mambo ya muda mfupi tuu.... Just Illusions...!!!
Kutochepuka ndo illusion, maana mwanaume anapambana na nature, anawatamani wanaopiga mashine nje ila anajibana...so this will be pure hallucination!
 
Kutochepuka ndo illusion, maana mwanaume anapambana na nature, anawatamani wanaopiga mashine nje ila anajibana...so this will be pure hallucination!
Kazana kazana kazana kabisa kuchepuka. Endelea Endelea Endelea na Usiache kabisa kuchepuka. As you wish... Utavuna unachokipanda pia.
 
Ni kukosa heshima tuu, hakuna sababu yoyote ya kumfanya mwanaume au mwanamke achepuke!!
Kabla hujafungua zipu yako kumbuka ulikotoka na mkeo.
wewe sakayo wewe,,,nikumbuke nini Mimi,,,nachotaka by thn ni Raha tuu
 
Wewe wakuhurumiwa maana hata somo la elimu ya viumbe limekupitia kando

Viumbe wamegawanywa kwenye kingdoms

Kama fungie Kingdom
Plantae kingdom
Salmonella Kingdom
Animalia kingdom nk

Binadam na wanyama wengine wamejumuishwa kwenye Animalia (animals Kingdom )

Wanatabia zao
Kuzaa...reproduction (mjadala wetu upo hapa)
Kutembea. ..locomotion
Kutoa uchafu ...excretion
Kunyonyesha..
Kupumua...respiration
Nk
Kwahiyo binadamu nimnyama kwa sayansi ya viumbe hai yaani Biology

Kama hujijuwi nenda shule utaelewa

Kwa kweli kama ni kuchepuka ndo sifa ya mnyama basi wanawake ndo wanyekuwa wanachepuka. Kuliko hapa hao wanaume coz wao wanafuatwa na me wengi so kama ndo kuku basi kila jigoo lazima likupande but we a human thats why tuna akili ya kuchagua nankufanya maamuz so me msijitete kwa kuona nyie mnahaki kuliko ke kumbuka wote tuna haki sawa haswa swala la mapenzi coz ndivyo yalivyo
 
Kujipa moyo tu k ile ile sawa na nyama tu unabadilisha bucha tu.kama unashiriki na mkeo kila siku hacha wiki ipite bila kushiriki alafu shiriki naye utahisi kuna kitu kimebadilika kumbe sio.hacha uzinzi tulia
 
Sijui kama ni kweli ila muwe mnachukua warembo jamani khaaa...!!!
Mana kuna wakati ukijua kuwa msweet wako anachepuka na ukabahatika kukiona kimchep khaaa unaishia kumuonea huruma mume na mchepuko hahahaaa.....
Hasira zote zinaisha mtu unabaki kucheka tuu hahaa..
Ndizi ni tamu ila baada ya kumenywa!! K/Moto ni mtamu sana ila Sasa......
 
Mkuu hizo ni myths tu kama nyingine. Kuchepuka hakuongezi self esteem ila kunaongeza gharama tu. Waulize wachepukaji wazuri watakusimulia, invoice zinatoka kila kona, nyumba kubwa, mchepuko 1, 2, 3, etc weka mbali na watoto hiyo kitu.
Matumizi yanapoongezeka na akili inaongezeka ya kuzitafuta
 
Mchepukaji kujisikia mbabe lazima, cos anapata attention huku na huku.
Tatizo linakuja yeye anapojiona mbabe, wakati wenzake wanamuona sponsor.
 
Back
Top Bottom