Nature wa historia haijasema popote hiki unachokisema
Mambo yote ya kihistoria yaliyofanywa nanwanaume ndo yaliyo andikwa sio kama wanawake hawakufanya walifanya sana sema sababu ya mfume dume ulio kuwepo toka mwanza vya me ndo vilivyo onekana
Nature wa historia haijasema popote hiki unachokisema
Mambo yote ya kihistoria yaliyofanywa nanwanaume ndo yaliyo andikwa sio kama wanawake hawakufanya walifanya sana sema sababu ya mfume dume ulio kuwepo toka mwanza vya me ndo vilivyo onekana
Yaani tangu zamani kabla ya ibrahimu baba Wa imani hajazaliwa mpaka babu/baba yako wanaume wamekuwa na wanawake zaid ya mmoja eti leo ndo maajabu,kushangaa hili ni kituko kikuu!!!
to men all women are the same, utakuta janamke bayaaa lakini lina mashamsham kitandani balaa, unakuta pia lina kitu mnato,mnabaki kushangaa tu!
Nilikuwa naelezea tu nature ya males jamani
Sio nature yanwanaume sema nature ya wanaume wa kiafrika coz asilimia kubwa ndivyo mlivyo japo sio wote pia
Jogoo anamiliki tetea 10Simba dume mmoja anamiliki dazani ya warembo
Swala dume mmoja anamiliki majike zaidi ya mia
Beberu mmoja wa mbuzi anamiliki boma lote
Na binadamu wanaume niwanyama tu....hisia za kuchomachoma zipo sawasawia kama swala au mbuzi dume.
Relux mamii
Ndoivo,, make make Kuna wengine wame/ wapenzi wao hawana uwezo wa kufikisha kunako kilele.. Wacha nao waonje utamu
Cc Smart911
hakuna sababu yoyote! duh! hata kuninyima unyumba sio sababu ya kuchepuka!.. unastahili kbs kupimwa mkojo.Ni kukosa heshima tuu, hakuna sababu yoyote ya kumfanya mwanaume au mwanamke achepuke!!
Kabla hujafungua zipu yako kumbuka ulikotoka na mkeo.
wanawake wanaotoka nje ya ndoa ni wachache kuliko wanaume wanaotoka kwenye ndoa.Kinacho nifurahisha ni kwamba si wanaume tu wanachepuka hata wanawake tunachepuka sana tu mbona ila kiwango cha wanaume hakija wafikia wanawake kwa kweli
Ukimaliza kuchepuka inabidi uwahi kuomba msamaha ili usamehewe mapemaaaaaIla kuchepuka nako ni kipaji.... Kuna wengine ukitaka kichepuka unahisi kama WiFE anakuona vile.....
Ndoivo,, make make Kuna wengine wame/ wapenzi wao hawana uwezo wa kufikisha kunako kilele.. Wacha nao waonje utamu
Cc Smart911
wanawake wanaotoka nje ya ndoa ni wachache kuliko wanaume wanaotoka kwenye ndoa.
Wanaume waliopo kwenye ndoa wanachepuka na wanawake ambao hawapo kwenye ndoa ,kwani ni wengi sana hawapo kwenye ndoa.
Tukizingatia wanawake ni Mara 4 ya wanaume Duniani
Ukimaliza kuchepuka inabidi uwahi kuomba msamaha ili usamehewe mapemaaaaa
Tukisema 4 ruksa utaskia ni tamaa.Wewe wasema ukweli
Msema kweli mpenzi wa mungu
Utamu na raha ya mechi kila mmoja apate jamani
Nawanawake wote wahahitaji huduma ya ukunaji mubashara maana nihitajio la mwili kibiologia
Sasa lazima wate huduma kwa madume lijali yanayochepuka.