Chris14
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 3,076
- 2,186
Uko sahihi mkuu [emoji122]Ni kukosa heshima tuu, hakuna sababu yoyote ya kumfanya mwanaume au mwanamke achepuke!!
Kabla hujafungua zipu yako kumbuka ulikotoka na mkeo.
Uko sahihi mkuu [emoji122]Ni kukosa heshima tuu, hakuna sababu yoyote ya kumfanya mwanaume au mwanamke achepuke!!
Kabla hujafungua zipu yako kumbuka ulikotoka na mkeo.
Na mwanaume mwenye akili timamu lazima uwe na majukumu ya kuchangamsha ubongo,sio unakakaa kizembe,Mkuu hizo ni myths tu kama nyingine. Kuchepuka hakuongezi self esteem ila kunaongeza gharama tu. Waulize wachepukaji wazuri watakusimulia, invoice zinatoka kila kona, nyumba kubwa, mchepuko 1, 2, 3, etc weka mbali na watoto hiyo kitu.
Unapingana na utafiti sasa[emoji6]kwendaaa huko
nikukute sas na michepuko yako nakukata kichwa😎😎😎😎😎😎
huu wa twaweza?Unapingana na utafiti sasa[emoji6]
Wewe ni mrembo toka nje mpaka ndani??? Uzuri wa mtu/kitu upo machoni pa muonaji..!Sijui kama ni kweli ila muwe mnachukua warembo jamani khaaa...!!!
Mana kuna wakati ukijua kuwa msweet wako anachepuka na ukabahatika kukiona kimchep khaaa unaishia kumuonea huruma mume na mchepuko hahahaaa.....
Hasira zote zinaisha mtu unabaki kucheka tuu hahaa..
Jifariji
Afu we dada huwa nakutamani sana lkn Basi tuNi kukosa heshima tuu, hakuna sababu yoyote ya kumfanya mwanaume au mwanamke achepuke!!
Kabla hujafungua zipu yako kumbuka ulikotoka na mkeo.
Kwa kifupi tuchepuke au???
Sema hakyamunguAfu we dada huwa nakutamani sana lkn Basi tu
Sawa mkuu nimejifunzaJogoo anakuwa na pakushushia hasira
kwendaaa huko
nikukute sas na michepuko yako nakukata kichwa😎😎😎😎😎😎
[emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa kipi unakikata MD? Utatumia panga au mkasi?
Hakuna nature hapo kakangu, zaidi ni kupeleka mikosi nyumbani tuu!!Sio mimi ni nature Bi mkubwa
Ulijali wa mwanamme nikiwango cha wanawake anaoweza kuwashibisha pasi kuyumba
Wafalme Daud, Suleiman....nk
Babu wa babu zetu nao daa jamani
Hakuna nature hapo kakangu, zaidi ni kupeleka mikosi nyumbani tuu!!
Kuanzia mmeanza chepuka mmepata faida zipi?! Zaidi ya kukosa amani na kuishi kwa wasiwasi!!
Kama ni nature kwa nini huwa mnafanya siri?!
Huyo unayemfungulia zipu hastahili kuona hogo lako, ficha!! Anza kuheshimu hogo lako kakangu ndo utaweza mheshimu mkeo! Samahani ila ndo ukweli
Wewe ni MTU Mzima acha Kumtesa Mtoto wa Mwenzio,mpaka Alie?Sema hakyamungu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkotofi wewe
Nitatumia mkasi
Hakuna nature hapo kakangu, zaidi ni kupeleka mikosi nyumbani tuu!!
Kuanzia mmeanza chepuka mmepata faida zipi?! Zaidi ya kukosa amani na kuishi kwa wasiwasi!!
Kama ni nature kwa nini huwa mnafanya siri?!
Huyo unayemfungulia zipu hastahili kuona hogo lako, ficha!! Anza kuheshimu hogo lako kakangu ndo utaweza mheshimu mkeo! Samahani ila ndo ukweli
HahahaWewe ni MTU Mzima acha Kumtesa Mtoto wa Mwenzio,mpaka Alie?