Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,473
AiseeeKizuri kula na nduguyo dada
Chips yai tatizo,
Wachache wenyeuwezo wahudumie nawengine
Umenishinda tabia
AiseeeKizuri kula na nduguyo dada
Chips yai tatizo,
Wachache wenyeuwezo wahudumie nawengine
Katika tafiti nilizoelewa za twaweza hii Ni 100%huu wa twaweza?

Sio mimi ni nature Bi mkubwa
Ulijali wa mwanamme nikiwango cha wanawake anaoweza kuwashibisha pasi kuyumba
Wafalme Daud, Suleiman....nk
Babu wa babu zetu nao daa jamani
ukweli ulichosemaSijui kama ni kweli ila muwe mnachukua warembo jamani khaaa...!!!
Mana kuna wakati ukijua kuwa msweet wako anachepuka na ukabahatika kukiona kimchep khaaa unaishia kumuonea huruma mume na mchepuko hahahaaa.....
Hasira zote zinaisha mtu unabaki kucheka tuu hahaa..
Sio mimi ni nature Bi mkubwa
Ulijali wa mwanamme nikiwango cha wanawake anaoweza kuwashibisha pasi kuyumba
Wafalme Daud, Suleiman....nk
Babu wa babu zetu nao daa jamani
Umenena kweli kabisa.Ni kukosa heshima tuu, hakuna sababu yoyote ya kumfanya mwanaume au mwanamke achepuke!!
Kabla hujafungua zipu yako kumbuka ulikotoka na mkeo.
Hahaha
Huo ni uchochezi Sasa
to men all women are the same, utakuta janamke bayaaa lakini lina mashamsham kitandani balaa, unakuta pia lina kitu mnato,mnabaki kushangaa tu!Sijui kama ni kweli ila muwe mnachukua warembo jamani khaaa...!!!
Mana kuna wakati ukijua kuwa msweet wako anachepuka na ukabahatika kukiona kimchep khaaa unaishia kumuonea huruma mume na mchepuko hahahaaa.....
Hasira zote zinaisha mtu unabaki kucheka tuu hahaa..
Ni kukosa heshima tuu, hakuna sababu yoyote ya kumfanya mwanaume au mwanamke achepuke!! Kabla hujafungua zipu yako kumbuka ulikotoka na mkeo.
Chepuka ila nkikujua, kwenuuuuuuuuMme akichepuka na ww unachepuka coz unatongozwa na wanaume kama yeye so akishindwa kukuheshimu haina haja ya ww kumheshimu na ww full kuchepuka
zaidi ata hakyamunguSema hakyamungu
Wewe si mwanaume tulia..Ni kukosa heshima tuu, hakuna sababu yoyote ya kumfanya mwanaume au mwanamke achepuke!!
Kabla hujafungua zipu yako kumbuka ulikotoka na mkeo.
Mme akichepuka na ww unachepuka coz unatongozwa na wanaume kama yeye so akishindwa kukuheshimu haina haja ya ww kumheshimu na ww full kuchepuka
Aiseee
Umenishinda tabia
Yaani tangu zamani kabla ya ibrahimu baba Wa imani hajazaliwa mpaka babu/baba yako wanaume wamekuwa na wanawake zaid ya mmoja eti leo ndo maajabu,kushangaa hili ni kituko kikuu!!!Sio mimi ni nature Bi mkubwa
Ulijali wa mwanamme nikiwango cha wanawake anaoweza kuwashibisha pasi kuyumba
Wafalme Daud, Suleiman....nk
Babu wa babu zetu nao daa jamani
Sawa tuuNilikuwa naelezea tu nature ya males jamani