MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,479
- 6,532
Ndugu wana JF, Nawasalimu wote
Naomba tushiriki katika utafiti huu mdogo juu ya hiki chakula na kwa sababu sitaki watu wawe biased sitapenda kufafanua zaidi utafiti huu umelenga nini hasa. Ila kwa kushiriki hatua nitakazotoa hapa chini unaweza hisi ni kitu gani natafuta.
Jinsi ya Kushiriki
1. Nunua Popcorn duka lolote unaloliamini ( Robo kilo inatosha, ukizidisha haina madhara kwa utafiti huu)
2. Rudi nazo nyumbani, kula wewe hata na wanafamilia kama wapo
3. Ukiamka asubuhi jichunguze afya ya meno (wewe mwenyewe nyumbani) kama kuna mabadiliko yoyote
4. Rudia 1 hadi 3 kwa siku tatu
5.Baada ya siku hizo tukutane hapa kupeana mrejesho
=======================================
Sample size ya 100 inatosha sana kwa utafiti huu.
Update
==========================
siku ya kwanza inaisha nategemea washiriki mnaendelea na zoezi vizuri