Utafiti: Je, ni umri gani sahihi wa mtu kuitwa mzee?

Kuzeeka sio umri, ni mazingira. Kule vijijini kuna watoto au vijana ukiwaangalia unaweza kudhani ni wazee kumbe ndio wako 30.

Kuna maeneo unakuta mzee miaka 80 anaendesha gari, anaenda sokoni kujinunulia mahitaji, anajihudumia mwenyewe na anatembea vizuri na hana hata dalili za uzee.

Uzee sio umri.
 
uzee ni neno tu ila kiuhalisia uzee unaanza 40 yrs na huu ndo ukweli ujana unaisha 35 hata kwenye mpira mwisho miaka 35 hadi 40.
Acha kutuzeesha mkuu, uzee unaanzia miaka 60. 36 hadi 45 ni utu uzima, 46 hadi 59 ni makamo, ujana ni 35 kushuka hadi 18.

Nasema tena usituzeeshe!
 
Acha kutuzeesha mkuu, uzee unaanzia miaka 60. 36 hadi 45 ni utu uzima, 46 hadi 59 ni makamo, ujana ni 35 kushuka hadi 18.

Nasema tena usituzeeshe!
Sawa kwa mawazo yako na hyo umetaja kisheria
 
Kama upo na pesa, hata kama una umri wa kutosha shule ya chekechea lazima walimu watakuita Mzee
 
Back
Top Bottom