Utafiti: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na ukweli wake!

Kuna vichaa wengine hawaishiwi ukichaa na ndio maana kila siku wanaokota makopo halafu wanapomuona mtu mwenye akili wao wanahisi huyo ndie kichaa.
 
NJIA YA MWONGO NI FUPI................HUWEZI KUTEMBELEA MADUKA HAYO YOTE,PROOF NI HII HAPA CHINI:
ikiwa kila duka moja utachukua dakika tatu(3 x 489,125=1,467,375 minutes)
-Ikiwa saa moja ina dakika 60,siku moja yenye masaa 24 ina dakika=60x1x24=1140 minutes.
-ikiwa mwaka una jumla ya siku 365,ambapo siku moja ina jumla ya dakika 1140,kwa hiyo jumla ya dakika katika mwaka ni 1140x365=525600 minutes.

HAPO INA MAANA UMETOKA DUKA MOJA NA KUINGIA JINGINE HUNA MCHANA HUNA USIKU NA BADO UNADAIWA DAKIKA 1,467,375-525600=941,775(ALMOST MWAKA MMOJA NA MIEZI KUMI NA MOJA).
ANGALIZO:KAMA HUNA KITU CHA KUPOST COMMENT TU,HAITAPUNGUZA UMAARUFU WAKO.
Hapa mtoa mada kaleta mjumuisho wa utafiti wake..kulikua hakuna sababu ya yeye kuorodhesha team alioku akifanyanayokazi au dakika alizokua akitumia kwa kila duka..Thats true boy
 
Kwa taifa la Tanzania kuleta mada kama hii pia ni kuchochea udini. Hili linathibitishwa na hisia za uchangiaji za pande kuu mbili zinazosigishana
kwanza hata mleta Mada hana uhakika na Dodoso zake
hii inaweza kuchochea Fitina na chuki km DATA si za kweli bora kuacha kuzitoa maana kuna wenye DATA nao wanazimwaga hadi aibu kuziangalia zinavyopishana na majibu mepesi ya Yerico
Bunge la Katiba Uwiano wa kijinsia wanaume 101 wanawake 100
Wanawake NGO Wajumbe 13 Wakristo 12 Muislam 1
Vyama Vya Siasa Wajumbe 28
Wakristo 18 Waislam 10
Tasisi za Elimu Wajumbe 13
Wakristo 12 Waislam 1
Walemavu Wajumbe 13
Wakrsito 10 Waislam 3
Vyama Vya Wafanyakazi Wajumbe 15
Wakisto 9 Waislam 5
Wafugaji Wajumbe 17
Wakristo 16 Waislam 1
Wavuvi Wajumbe 17
Wakristo 15 Waislam 2
Wakulima Wajumbe 13
Wakristo 8 Waislam 5
Malengo Yanayofanana Wajumbe 14
Wakristo 9 Waislam 5
Tasisi za Dini Wajumbe 13
Wakristo 8 Waislam 5
Hii ndiyo haki inayotambuliwa na Kanisa.
Huu ndiyo Mfumo Kristo unaolalamikiwa na Waislam Share
Hao wote wamechaguliwa na maulamaa wenzenu Alhaji Kikwete na Alhaji Shein, Je linalaumiwaje kanisa? Huo ndio mfumo kristu?
 
Walioathirika kisaikolojia ni ngumu kuwafanya wakakuelewa hata kwa jambo la kheri kwao what they need is only what they know.
 
KATIKA MAMBO NINAYOYAOMBA USIKU NA MCHANA NA MUNGU ANISAIDIE YATIMIE NI..
kuondoka madarakani kwa JK, na sio kwa sababu JK hawezi kuongoza au hatufai.. la hasha ila ni kwa hulka za JK za kulea na kufumbia macho watu kama huyu MWANA HARAMU yericko..
anyway, muda ni hakika dhabiti na tuusubiri.
ikifika november mwaka huu Yericko utaamua mawili
either ufunge mdomo wako uliojaa hadaa na isfa za kifedhuli
au tuataufunga, sio mdomo tuu bali tuta............ only god knows.
nchi hii inaweza kuwepo kwa miaka mingine 1000 bila uwepo wa watu kama wewe yericko. ila inaweza kupotea na kusambaratika within short period of time kwa uwepo wa watu kama wewe.
sasa ya nini kuwaendekeza!!!! breath your fresh air deeply within these few remaining months.
breath it freely because it might be the most precious thing that god has offered you.
but when the time comes, we will hold it forever(count my words)
 
Hapa mtoa mada kaleta mjumuisho wa utafiti wake..kulikua hakuna sababu ya yeye kuorodhesha team alioku akifanyanayokazi au dakika alizokua akitumia kwa kila duka..Thats true boy
nakushukuru kwa kua mzoefu kwenye masuala haya ya research kwakuwa umeweza kumjibia swali mtoa mada,nina mwasali kidogo hapa chini:
1.je? mbona mtoa mada hajatubandikia chapisho la research yake,ametuletea tu majumuisho,huoni anaweza kuja mjinga mwingine na heading ya mfano "wakristo ndio walioshikilia uchumi wa Tanzania",akatubandikia tu manamba na kutuambia ameyatoa sehemu fulani bila kutubandikia rejea zake na waliozifanya tutamwaminiji?
2.ni wapi hapo amepata kibali cha kufanya tafiti ya kupita kariakoo na kuanza kuuliza dini za watu?,na kama amezioa hizo data sehemu husika aziweke hapa
3.ili tumwamini zaidi atubandikie form za ridhaa kutoka mamlaka husika zilizomruhusu kufanya tafiti ya watu zaidi ya lakimoja ili tumuamini na utafiti wake.

NOTE:SIPINGI MATOKEO YA TAFITI YAKE,NINACHOPINGA MIMI NI KUTULETEA DATA BILA KUTUBANDIKIA LINK AU CHAPISHO ALIPOZITOA....................JE MJINGA YEYOTE AKIJA NA KUTULETEA MATARAKIMU AKISEMA YA KUWA "wakristo ndio walioshikilia uchumi wa Tanzania",BILA KUTULETEA CHANZO ZA HAYO MATARAKIMU NA ALIPOYAPATA TUMWAMINI?
 
KWA UTAFITI WAKO INAONEKANA ASILIMIA KUBWA YA WATANZANIA NI WAISLAMU,, YAAANI ASILIMIA ZAIDI YA 60%... ili utafiti wako uweze kuaminika ni kazi saaana,, MIMI NI muislamu, na 80% ya sehemu nilizowahi kufanya kazi waislamu tunakuwa hatuzidi 3.... 90% ya shule nilizosoma nikianzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu darasani huwa hatuzidi 30% ni shule ya msingi tu ndio nakumbuka labda tulifika kama 46% ... Chuo kikuu darasani waislamu tulikuwa wanne...
college waislamu tulikuwa hatuzidi watano,,, secondari pale AZANIA waisilamu tulikuwa kwenye darasa langu hatukuzidi 10....
KAKA hii tafiti sio sahihi kwa 95%,,,,,,, ninachoweza kusema idadi ya waislamu matajiri inaweza kuzidi ila si kwa asilimia kubwa,,, Idadi kubwa ya waislamu ni masikini hasa pwani na tatizo linawezakuwa ni kweli walipuuza elimu au ulikuwa mkakati maalumu wa kuwamaliza kama inavyosemekana hili limeanzia Vatican.. na kusimamiwa na Marekani...
 
Kwa maeneo yaliyofanyiwa utafiti ni wazi kuwa waislamu ni wengi,
 
I wonder why Africans are deeply driven by the waves of beliefs, if you are black, white or colored simply your human, religions designed by this east and west folks to control your mind and life.
 
Nakushukuru Baba Muumba wa mbingu na nchi..kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili..Ukawafunulia watoto wachanga! Naamu Baba..maana hivyo ndivyo ilivyokupendeza...data or no data hakuna mfumo Kristu nchi hii! Amen!
 
Naaam naaaam mkuu,
 
Back
Top Bottom