Utafiti binafsi: Wadada waliozalishwa na kuachwa wana mapenzi ya dhati

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
542
733
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiona hawa wadada walio zalishwa mapema na kuachwa hasa wale waliokuwa bado wako shuleni au punde tu baada ya kumaliza shule na kupewa ujauzito kisha jamaa zao kuingia mitini.

Wadada hawa kwa asilimia kubwa wanajielewa sana na wanajua kupenda na wanapenda kwa dhati na kwa kujitoa mno wakipata mpenzi mwingine. Mimi nimewahi kuwa nao kadhaa yaani hadi nashawishika kuoa kabisa mdada alie na mtoto kwani nimegundua wanapenda kweli nikilinganisha na ambao hawajawahi kuzalishwa kabla.

Ingawa changamoto pekee ni kulea mtoto asiye wako inahitaji moyo wa kujitoa kweli.
 
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiona hawa wadada walio zalishwa mapema na kuachwa hasa wale waliokuwa bado wako shuleni au punde tu baada ya kumaliza shule na kupewa ujauzito kisha jamaa zao kuingia mitini. Wadada hawa kwa asilimia kubwa wanajielewa sana na wanajua kupenda na wanapenda kwa dhati na kwa kujitoa mno wakipata mpenzi mwingine.
Mimi nimewahi kuwa nao kadhaa yaan hadi nashawishika kuoa kabisa mdada alie na mtoto kwani nimegundua wanapenda kweli nikilinganisha na ambao hawajawahi kuzalishwa kabla.

Ingawa changamoto pekee ni kulea mtoto asiye wako inahitaji moyo wa kujitoa kweli.
Ni kweli kabisa na hii nikwasababu anakuwa ameumizwa sana, kweli huwa wanapenda Kwa dhati kabisaa
 
lazima wawe na mapenzi ya dhati ili tu kukutengenezea mazingira waolewe sababu kuolewa kwao probability ni ndogo sana
 
Back
Top Bottom