Utafanyeje Ukikutwa HIV+

Utafanyeje Ukikutwa HIV+

Ivi HIV si Human Immunodeficiency Virus...
Means for Human and not any other animal, kwann tupate presha kujipima eti kama unao.
kama upo upoo tu.

Ushauri,
Nyie mnaopima pima iko siko mtapata mnachokitafuta.
 
hii thread imenifanya mpaka nimepima leo ,ebana kile chumba kinatisha! nikaambiwa nitoke nje kidogo ,ile kurud akanipa majibu kua niende tena baada ya miezi mi3 ,ebana eeh nimejiona kama nimezaliwa upya! na wamenipa makondom kbaaaaaoo.
 
Kupima ukimwi nako ni KUFANYA MAAMUZI MAGUMU😡😡
 
hii thread imenifanya mpaka nimepima leo ,ebana kile chumba kinatisha! nikaambiwa nitoke nje kidogo ,ile kurud akanipa majibu kua niende tena baada ya miezi mi3 ,ebana eeh nimejiona kama nimezaliwa upya! na wamenipa makondom kbaaaaaoo.

Dah Imekua Thread Ya Ukweli
 
Kupima ukimwi ni ULIMBUKENI tu au ni kutokujua kua unachezea maisha yako mwenyewe.

Ivi unapimaje kitu kisichopo (fake).

Ndio, ukimwi ni ugonjwa fake.

Kuanzia historia yake ni fake.

Vipimo vyake ni fake

Yani mbapa tiba yake pia ni fake.

NB: Najua hautanielewa, lkn usinibishie.
 
Duh, hii Kali...
 
Back
Top Bottom