Utafanyeje Ukikutwa HIV+

Utafanyeje Ukikutwa HIV+

Sababu nilishawahi kupima mara kadhaa.

Kama kwa sasa ikitokea mathalani nimepima na ikawa nimekanyaga miwaya itabidi nikubaliane na hali halisi na kuyapokea maisha yangu mapya
 
pale hata kama unajua mwenendo wako mzuri ,lazma ujambe jambe kwanza!! ila ukishajua wewe ni NEG- utajiona kama umezaliwa upya vle.
 
If you test +tive then avail yourself to ARV; and in the case of -tive, contemplate if you use condom during sex.
Binafsi sijawahi kutumia huo mpira!
 
Aisee mm nataka nende kupima huu ni mwezi wa tatu kila siku nasema nataka kwenda kupima mwaka niliopima hata siujui

Nanikikutwa nao namtafuta alieniambukiza nanchinjaa mwee
 
nyie mnaopimapima kila mwezi shauri zenu ipo siku mtapata mnachokitafuta.....

mi huwa sipimi.

We Mtumishi unapoteza kondoo zako kwa namna hiyo....badala uwasihi wakapime wajue afya zao na kujilinda.
 
We Mtumishi unapoteza kondoo zako kwa namna hiyo....badala uwasihi wakapime wajue afya zao na kujilinda.

nitawapoteza kivipi mkuu,, mtu kama unajilinda wasiwasi wa nini... kuna mtu anaratiba kila baada ya miezi mitatu anaenda kupima sasa huyu anataka nini?

cha muhimu ni kujilinda tu, kupima mara moja kwa mwaka au baada ya miaka miwili inatosha sana.
 
Nitalala siku nzima, nakudhani iyo ni ndoto. Nayo itapita
 
Ni bora kutokupima kabisa hasa kipindi unaposumbuliwa na homa za hapa na pale vinginevyo utaishia kufa kwa presha, hofu + sumu za Arv
 
Ni bora kutokupima kabisa hasa kipindi unaposumbuliwa na homa za hapa na pale vinginevyo utaishia kufa kwa presha, hofu + sumu za Arv

Kwa Hiyo Aheri Ufe Mapema
 
Ntachukulia kawaida coz ni kitu cha kawaida sana but ntabadilisha mtindo wa maisha na kuishi vyema zaid hasa kwa kuzingatia lishe bora.(kama ikitokea nkapima coz sina mpango wa kupima kabisaaaa)
 
Back
Top Bottom