BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,182
- 11,779
Sisi Kama Binadamu Tunapenda Tusipatwe Na Matatizo.Unaweza Ukaishi Na Maradhi Bila Kujijua. Kama Inatokea Umeumwa Na Ukapimwa Ukakutwa Una Virus Vya Ukimwi Ni Kitu Gani Cha Kwanza Utafanya?Je Utakaa Kimya Ama Utawaeleza Wazazi Wako Au Mke Au Mpenzi Wako??