Utafanyaje?

Utafanyaje?

Kikukweli na urafiki utaishia hapo kama nikuisha.hakuna mgao wala nini.
 
aliyetoa pesa nani?? Si mimi, sasa zawadi achukue yeye anahusikaje?
 
mfano we unaishi maisha ya kawaida na magumu kiasi,mgeni akakutembelea,ukaenda kumnunulia soda,mara alipofungua ganda la kizibo cha soda akawa amejishindia million 100,akaanza kushangilia na kupiga kelele,nimeshindaaaaaa!

Je we utachukua uamuzi gani?
urafiki ungeishia hapo hapo maana ningevuta sime na kufunga mlango namwambia nitemee kisoda chalii angu....akibisha Bapaa moja La kumtoa wenge,akinipa na mwambia pita iviii jombaa
 
urafiki ungeishia hapo hapo maana ningevuta sime na kufunga mlango namwambia nitemee kisoda chalii angu....akibisha Bapaa moja La kumtoa wenge,akinipa na mwambia pita iviii jombaa

Hehehhee hapo lazima ajute yaani atajirike kwa mgongo wako?
 
Back
Top Bottom