Kuna weza kuwa na mambo mengi ilaHivi huwa mnafanyaje ukigundua mume anatongoza mdogo wako na mdogo wako akakupa ushahidi wa hilo jambo
1. Tengeneza mazingira Mumeo asiwe karibu sana na mdogo wako ILA kama dogo ndio house girl na amejaliwa ni changamoto na hiki kizazi chenu kila kitu mnatumia remote (ni yeye anafanya)
2. Pengine uweke utaratibu wa kumtoa mdogo wako hapo kwako na kumleta house girl ILI akihitaji zaidi akatafute huko nje
3. Yaweza kuwa hutekelezi majukumu yao sawasaswa hasa ya kiunyuma; Simba asipo shiba vizuri, na anajua kuwa njama ipo store atavunja mlango