Tatizo la ninyi wanawake 90% hawanaga akili au maamuzi tena ukikuta nitegemezi ndio basi tena hata umchinje shingo nusu yeye atasema navumilia tu🤣Wala sio kujirahisisha ni tamaa za wanaume na kutaka kila mwanamke kumuonyesha kendre zake..!!
Mimi niliwahi kusumbuliwa na shemeji yangu nikiwa under age ni vile kaona vichuchu vimechomoza tayari tezi dume lake linamuwasha..!! Nilimzingua na nilimwambia mkewe ambaye ni sis yangu..
Ajabu mkewe alijiliza baadaye akaona kama mmewe anasingiziwa. Nikaondoka kwao akapata mgeni ambaye ni wifi yake binamu yake na mumewe..!!
Shem akapita naye na ujauzito juu, sis anakuja kushtuka mtoto wa wifiye copyright na mumewe 😹😹😹
Nikamwambia hapo huna mume
Na sio binamu mmoja wengi kapita nao hadi watoto wa mama zake wakubwa..!!
Kitu siwezi kuvumilia ni usaliti wa waziwazi huwa sicheleweshi kupiga kibuti..!!Tatizo la ninyi wanawake 90% hawanaga akili au maamuzi tena ukikuta nitegemezi ndio basi tena hata umchinje shingo nusu yeye atasema navumilia tu🤣
Wanaume mnajiendekeza sana na hivyo viungo vyenu 😹Hapa umeuwa.😆
Ndiyo udhaifu wetu.Wanaume mnajiendekeza sana na hivyo viungo vyenu 😹
NaamKwahiyo na mkewe pia nae atoe huo ulaji kwa ndugu wa Mumewe ili kukamilisha huu msemo?
😀😀
Dah shem wako kiboko.... dada yako aliona kama unamsingizia kipenzi chake ! Ungeingia mkenge ungekuta umetoa copy ya shem ! Aibu kwa ukoo mzima 😊 😃 😀Wala sio kujirahisisha ni tamaa za wanaume na kutaka kila mwanamke kumuonyesha kendre zake..!!
Mimi niliwahi kusumbuliwa na shemeji yangu nikiwa under age ni vile kaona vichuchu vimechomoza tayari tezi dume lake linamuwasha..!! Nilimzingua na nilimwambia mkewe ambaye ni sis yangu..
Ajabu mkewe alijiliza baadaye akaona kama mmewe anasingiziwa. Nikaondoka kwao akapata mgeni ambaye ni wifi yake binamu yake na mumewe..!!
Shem akapita naye na ujauzito juu, sis anakuja kushtuka mtoto wa wifiye copyright na mumewe 😹😹😹
Nikamwambia hapo huna mume
Na sio binamu mmoja wengi kapita nao hadi watoto wa mama zake wakubwa..!!
Aibu gani mtu kuzaa na shemeji yake!Dah shem wako kiboko.... dada yako aliona kama unamsingizia kipenzi chake ! Ungeingia mkenge ungekuta umetoa copy ya shem ! Aibu kwa ukoo mzima 😊 😃 😀
Kumrudisha mdogo wako nyumbani kutasaidia nini? Kwanza kwani huko nyumbani mumeo hafiki? Pia ikiwa mumeo amefika hadi kuwa na confidence ya kumtongoza ndugu yako, unadhani hatongozi wanawake wengine huko mitaani? Solution ni ndogo tu comfront him kisha toka zako au baki ukijua kuwa ana wanawake wengine nje na kuna possibility kubwa kuwa kuna siku anakuambukiza STD simple!!!!Angalia nzuri ya kuhangaika na hilo.
Ingawa hakuna sababu ya maana mwanaume kufanya hivyo, jaribu kumrudisha mdogo wako nyumbani au la basi muondoke wote mwamba abaki na umalaya wake.
Kuna options nyingi sana hata kama unamnyima unyumba
Kizuri kula na nduguyo au wewe mdogo wako haumpendi?Hivi huwa mnafanyaje ukigundua mume anatongoza mdogo wako na mdogo wako akakupa ushahidi wa hilo jambo
Nimewahi kufanya hii kitu na sababu ilikua ni yeye mwenyewe (dadamtu) issue za ku-sort na yeye ananipa ni-sort na mdogo wake nikasema ngoja nitafune familia nzima maana hapa mwenye macho haambiwi tazama nikatupa ndoana.. dogo katoa boko kaenda kusema kwa dadakeHivi huwa mnafanyaje ukigundua mume anatongoza mdogo wako na mdogo wako akakupa ushahidi wa hilo jambo
Ndio usenge waoTatizo la ninyi wanawake 90% hawanaga akili au maamuzi tena ukikuta nitegemezi ndio basi tena hata umchinje shingo nusu yeye atasema navumilia tu🤣