Utafanyaje ukigundua mumeo anamtongoza mdogo wako?

Utafanyaje ukigundua mumeo anamtongoza mdogo wako?

Elewa kuwa shemeji mtamu, usimlaumu sana. Na huyo mdogo wako Jau kweli, mambo yeye na shemeji yake anakwambia wewe ili iweje, kama si fitina.
 
Wala sio kujirahisisha ni tamaa za wanaume na kutaka kila mwanamke kumuonyesha kendre zake..!!

Mimi niliwahi kusumbuliwa na shemeji yangu nikiwa under age ni vile kaona vichuchu vimechomoza tayari tezi dume lake linamuwasha..!! Nilimzingua na nilimwambia mkewe ambaye ni sis yangu..

Ajabu mkewe alijiliza baadaye akaona kama mmewe anasingiziwa. Nikaondoka kwao akapata mgeni ambaye ni wifi yake binamu yake na mumewe..!!

Shem akapita naye na ujauzito juu, sis anakuja kushtuka mtoto wa wifiye copyright na mumewe 😹😹😹
Nikamwambia hapo huna mume

Na sio binamu mmoja wengi kapita nao hadi watoto wa mama zake wakubwa..!!
Ndo kidume ni kusugua asali
 
Hivi huwa mnafanyaje ukigundua mume anatongoza mdogo wako na mdogo wako akakupa ushahidi wa hilo jambo
Hilo janaume halijiheshimu hata kidogo! Inaonesha ni jinsi gani halikupendi!
 
Hakuna sababu ya kugombana na mmeo wala mdogo wako we mwambie amkatalie afu muonye kuwa aache ukaribu uliopitiliza na shemeji yake. Mwambie ukilemaa atakutomba yule namfahamu vizuri na akikutomba shauri yako mimi hayatanihusu.
 
Na huyo mdogo wake pia kuna vitu kazidiwa na wanawake wengine,
So,tunarudi kule kule kwenye tatizo lile lile,kwani huyo mkewe yeye haoni wanaume waliomzidi mumewe?

Maisha yahapo hivyo wala matatizo ya ndoa hayatatuliwi kwa njia hizo mkuu.
Mkuu Kila mwanaume ana namna yake ya kutatua matatizo ya ndoa yake
 
Kumtongoza mdogo mtu si sawa acha ajitongozeshe yee
 
Back
Top Bottom