Angalia nzuri ya kuhangaika na hilo.Hivi huwa mnafanyaje ukigundua mume anatongoza mdogo wako na mdogo wako akakupa ushahidi wa hilo jambo
Hivi huwa mnafanyaje ukigundua mume anatongoza mdogo wako na mdogo wako akakupa ushahidi wa hilo jambo
Naam, mambo yasiwe mengi
Na huyo mdogo wake pia kuna vitu kazidiwa na wanawake wengine,Weka picha yako na ya mdogo wako kwa faida ya members, Kuna vitu mdogo wako amekuzidi...
Cc: Mahondaw
Naunga mkono hoja mkuu 😃Weka picha yako na ya mdogo wako kwa faida ya members, Kuna vitu mdogo wako amekuzidi...
Cc: Mahondaw
Akitaka wa peke yake amtengeneze wa udongo 😀😃Kizuri kula na mwenzio
Prof Luhanga na Sir Joji Kahama piaUnamkubalia tu.hata Mobutu seseko alioa dada na mdogo wake
Kwahiyo na mkewe pia nae atoe huo ulaji kwa ndugu wa Mumewe ili kukamilisha huu msemo?Kizuri kula na mwenzio