Utafanyaje mkeo akikuletea dili la kubeba dawa za kulevya?

Utafanyaje mkeo akikuletea dili la kubeba dawa za kulevya?

Maulid alikuwa mfanyakazi serikalini. Alifukuzwa kazi kwa kuwa Na vyeti vya kughushi.
Tangu afukuzwe kazi ni miaka miwili sasa imepita.
Maisha yake ni magumu mno kwani hakupata chochote. Mtaani anadaiwa hadi chumvi, hamna wa kumuamini Wala wa kumpa Dili.
Akikopa hana uwezo wa kurejesha. Mkewe, amekuwa ni mvumilivu kwa kipindi chote hicho kigumu.
Usiku wa Leo mkewe kaja akiwa na uso wa bashasha na tabasamu Pana.
Mume akawa Na shauku ya kujua nini chanzo cha furaha ya mkewe!!!!
Mke anafunguka, anamwambia Yule mwarabu wa mjini ana kazi, anatafuta mtu wa kumbebea mzigo wake. Naomba uende ukabebe mzigo familia yetu iinuke tena.
Je ungekuwa ndio Maulid wewe ungefanyaje?
Naona umetumia 3rd person view ila mkuu ww beba tu hakuna wa kukulaumu.
 
Unga upi wa ngano au wawatu wazima hizo diri za watu wazima [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora n bak kuwa maskin huru
Aiseee shda za segerea na
Ukonga hapana kabsa
 
Kama maisha umeyachoka beba ukapambane na hali yako ukikamatwa umuache mkeo akiliwa na waarabu
 
Hilo dili yy kalitoa wapi? Kwanini asibebe yeye azuge kama mimba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom