Utafanyaje kumpata msichana mwenye mapenzi ya kweli?

Msichana mwenye mapenzi ya dhati hakuna kwasababu mahusiano ya boyfriend na girlfriend ni haramu utapata mshahara wake, Mke mwema utampata kwa kujinyenyekeza kwa Mungu kwa maombi na kufunga utafanikiwa otherwise utaangukia pua trust me.
kwanin mkuu
 
Sali sana kwa Mungu,alafu tulia usipende michanganyo,tii amr za mungu,then utapata saiz yako.
 
Mnyime hela kwa muda mref, akiendelea kukupenda basi jua ana mapenzi ya kweli
 
Kusema ukweli mimi najijua mwenyewe huwa na mapenzi ya kweli but kwa yule niliyeridhika naye moyoni mwangu.
Kama sijaridhika sina penzi la kweli atabaki km rafiki tu.
Najua wasiwasi wako mtu unawaza utapataje wa kufanana nawewe, hapo ndio mpk umpate mridhiane. Bila hivyo utabadili kila mara.
 
sasa utafanyavp mpaka umpate anayekufaa!
 
jaman naomba tusaidiane jinsi ya kumpata msichana mwenye mapenzi ya kweli maana siku hz weng walaghai

nenda google... tafuta love calculator.. itakusaidia.
 
hapo ni kutongoza 2 had kupata anayefaa bas
 
mapenzi hayana kanuni...grow up.

ni kama kamali.lkn kila mtu anataman kupata mtu mzuri lkin ndio hivyo.
kubutua na kubutuliwa kupo
 
jaman naomba tusaidiane jinsi ya kumpata msichana mwenye mapenzi ya kweli maana siku hz weng walaghai

Mambo!! From my experience nakushauri ufanye vitu viwili 1. Be successful au work hard in whatever your doing iwe kazini, business etc 2. Be Educated as much as you can yani maliza mpaka PHD na ukiweza Post doctor kabisa. Kwa sababu most woman wanatafuta some sort of security, yani wanakua attracted na mtu ambaye yuko focus na ataweza kutake care of the family(raising kids, pay bills, pay tution fees), kwahiyo wanaangalia sana your life achievements (shule,kazi, biashara etc). Wala usihangaike mitaani just focus on yourself. Yani ukifocus na hivyo vitu viwili uataona your Mrs Right unampata kirahisi bila ya wewe kustress. Goodluck
 
vp kama amempata shuleni
 
Back
Top Bottom