Utafanyaje kumpata msichana mwenye mapenzi ya kweli?

Utafanyaje kumpata msichana mwenye mapenzi ya kweli?

hv kwa nin wanawake mnawaza hela 2

mi ndo nawaza hela tu wengine wanawaza kugegedwa mkuu usijeneralizi utaumia mkuu... mimi nina watoto watatu sa wanahitaji hela ili waende shule , wavae
 
Mara ya mwisho kupima hiv ilikuwa lini? Umetumwa hela kwa disign hiyo? You offer your body for money! Nipm nikupe ushauri, umepotea!

sijawahi pima huo ugonjwa... alafu ushauri naoutegemea ni kuhusu hela au uchumi that alll... social life hii ni kawaida tu mkuu
 
mapenzi ya kweli ni moyo wa mtu tu! na kumpata mwenye mapenzi ya kweli kwako ni zali tu, ukibatika unampata ila atakupenda zaidi kama na wewe utatulia na kumpenda kweli! muombe mungu wako akuongoze katika kutafuta huyo mpenzi mwenye mapenzi ya kweli hapo unaweza ukafanikiwa!

kila laheri brother!

well said,ongezea na hivi.
Hakikisha naye ni mkweli (true person) sio mwenye kucha feki,nywele feki,kope feki,sauti feki, muondoko feki kama wa kwenye video.
 
Mapenz ya kweli kwa sasa hayapo ni kumi kwammoja.wasichana wengi wanaangalia maslai yao ili kwenda na wakati. hii inasababishwa na hali ya maisha kuwajuu, wanatamani vikuawa hali uchumi hauruhusu hapa ndopanapotokea suala la kutokuwa na mapenzi ya KWELI
 
Mbjjjjjn km coi guyuubijkplpgbgvhvixi
 
jaman naomba tusaidiane jinsi ya kumpata msichana mwenye mapenzi ya kweli maana siku hz weng walaghai

Kwanza labda tukianza na swali ili nikuulize .Elezea kwa mtizamo wako mapenzi ya kweli ni yepi na je unapenda msichana wa aina gani ambaye unadhani anaweza kuwa na mapenzi ya kweli.
 
jaman naomba tusaidiane jinsi ya kumpata msichana mwenye mapenzi ya kweli maana siku hz weng walaghai

Ni kumuomba mungu tuu akuonyeshe yupi ni mwema na Yupi si mwema. Kusema Kweli sisi binadamu Tuko dhaifu kwa hiyo ni vema dear kumshirikisha Mungu tuu kwa kila jambo ufanyalo au utakalo .
 
Back
Top Bottom