Utafanyaje kumpata msichana mwenye mapenzi ya kweli?

Utafanyaje kumpata msichana mwenye mapenzi ya kweli?

Hebu niambie kupenda ni nini?
Niambie tofauti kati ya upendo na mapenzi?

kupenda ni hali iliyambatana na hisia juu kitu au mtu fulani positively,na upendo na mapenz ni sawa ila upendo ni ki2 unachokienesha baada ya kupenda
 
Mke mwema atoka kwa Mungu
Sali Fanya maombi na wewe uwe mwaminifu naye Mungu atajibu hitaji LA moyo wako
 
Yupo hapa kitaa kwetu, tuma hela tigopesa
 
Kwanza we uwe mkweli kuliko huyo unayemtafuta... kuwa na demu zaidi ya mmoja ili upime vizuri.... hakikisha unampa hela za kutosha

Mhh Ngoja aje Evelyn Salt Namkubali kwa hoja zake zinaendana sana na zako Miss Chaga
 
Kwanza we uwe mkweli kuliko huyo unayemtafuta... kuwa na demu zaidi ya mmoja ili upime vizuri.... hakikisha unampa hela za kutosha

Kama jina lako lilivyo, unapenda hela eeh? Mapenzi hayakengw na hela mama. Mapenzi yanajwngwa na upendo.
 
Be a bad boy and u will get a goodgirl,however moyo wa mtu ni kiza kinene we can't tell
 
Msichana mwenye mapenzi ya dhati hakuna kwasababu mahusiano ya boyfriend na girlfriend ni haramu utapata mshahara wake, Mke mwema utampata kwa kujinyenyekeza kwa Mungu kwa maombi na kufunga utafanikiwa otherwise utaangukia pua trust me.
 
Back
Top Bottom