Utafanyaje kama ungekuwa wewe ndio mwanamke?

Utafanyaje kama ungekuwa wewe ndio mwanamke?

MAYOUB

Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
13
Reaction score
3
mimi ni msichana ninakaa na baba mtoto wangu hatujaoana lakini tunamtoto wa miezi mitatu sasa, baba mtoto wangu ni kijana ambaye anajipenda sana yani yupo very smart sijawahi kuona kijana anayependa kuvaa nyeupe na siku zote akarudi mtanashati kama baba mtoto wangu.


Kipindi alivyoanza kunitongoza na kukubaliana kuwa wote nikawa nasikita tetesi watu wakisema kwamba baba mtoto wangu sio riziki, sikutaka kusikiliza maneno ya watu kwani kama kunipenda alikuwa anipenda sana na kama kunitimizia kitandani alikuwa ananitimizia sana.


Muda ukaenda nikagundua nina mimba ndipo tulipoamua kuhamia tuishi pamoja maisha yaliendelea vizuri tu na mapenzi yakawa motomoto mpaka nikajifungua mtoto wa kike ambaye kwa sasa anamiezi mitatu ila kunamabadiliko ambayo nimegundua kwa mwenzangu, anapigiwa simu usiku na wanaume mara anavaa na kuondoka na kuniaga anaenda kwenye madili ya kutafuta pesa basi nami kwa vile nilikuwa nyumbani kazini siendi nikawa nakubaliana nayo.


Kumbe kweli baba mtoto wangu analiwa na wanaume wenzake siku dada nimekaa nyumbani yeye hayupo mara wakaja wageni wanaume wawili na kuniambia wanamtafuta baba mtoto wangu nikawaambia hayupo kwa jazba na hasira walizokuwa nazo hawakuweza kuvumilia na kuniambia kwamba wanamdai hela kila mtu 50,000/- ambayo aliwaahidi kuwapa kama watamshughulikia!!!!! dada nilivyosikia hiyo habari nilitaka kufa tumbo liliniuma kama lauchungu na wakaniambia wanapajuwa hapo nyumbani kwake kwasababu kabla ya mimi kuhamia walikuwa wanakuja kumshughulikia hapo.


Kwakweli baada ya hao wakaka kuondoka nilipatwa na msongo wa mawazo nilihisi kufa nikaanza kufikiria yale maneno niliyokuwa naambiwa mwanzo na watu kuhusu mpenzi wangu, Aliporudi nyumbani nikaongea naye kuhusu hilo swala kwa mara ya kwanza hakunificha akaniambia ni ukweli.


Nilitaka kufa maana nikaona hii ni aibu gani nimejiingizia familia yangu watanionaje kwamba nimezaa na mwanaume anaye kula na kuliwa kwakweli hiki kitu kilinichanganya sana na nikaamua kwenda kuongea na mama yake kuhusu hilo swala ndipo mama yake aliponifungulia ukweli kuhusu mwanaye na kwamba alishamuonya lakini hakusikia sasa wanataka kumkalia kikao wanafamilia wamtoe katika ukoo.


Dada mimi nimeshazaa na huyu kaka familia yangu wanajuwa nakaa naye na alikuwa na mpango wa kunioa nampenda sana lakini siwezi kukaa nikijuwa analiwa kila nikifikiria starehe ninazozipata katika mapenzi na nikifikiria na yeye anaenda kupindwa na kupewa na wanaume wenzake kinanichanganya sana namuonea sana huruma mwanangu kulelewa bila baba ila nimejipanga nataka kuondoka siwezi kuishi naye huku tena huo ndio uamuzi wangu.


Nilimuona mtanashati anapendeza na kuvutia nikajuwa nimepata, kumbe ananila na yeye kwenda kuliwa ee mungu wangu nisaidie niweze kupita vyema hiki kipindi kigumu sina la kuwaambia wazazi na rafiki zangu kwanini hawatamuona tena kwa sasa bado nafikiria ugomvi wa kuuanzisha ili wasipate pa kunirusiha naye kuomba msamaha sitaki wajuwe tatizo lake kwani hata kama nimekasirika na kuondoka sioni sababu ya kumdharilisha.
 
Blaine busara zako zinahitajika huku!
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhhhhhhhhhhh! Hizi ni nyakati za mwishooooo! Eeeeeh! Maulana Tunusuru!

Mi kila siku nasemaga Lisemwalo lipo!
 
Maana nimesoma huo Uzi hadi naogopa Kama ni story ya kweli!! Anyway huna haja ya kuanzisha ugomvi mpe live huwezi kuendelea basi!! Kusanya chako ondoka Kama kazi unayo hofu iko wapi?!
 
huyo mwenzako sio riziki hata kidogo,huo mchezo hawezi kuacha maana ndo amewekeza ubongo wake woteee na asipoliwa tigo hajisikii,hivyo basi fungasha vilivyo vyako kaanze maisha upyaaaaa coz huyo kama kaonywa kwao na bado haonyeshi dalili za kubadilika kweli sio riziki.
 
Maadam umeshahamua kuondoka kila la kheri kwani mawazo yako yameshakupa jawabu la nini suluhisho la tatizo lako. UMEHAMUA VYEMA
 
Mh ngoja ni-refresh page nisome upya.. hizi senario zimezidi kuwa nyingi hapa MMU
 
Pole kwa kuwa na mahusiano na Mchicha mwiba!kama unampenda kweli na anakusikiliza unaweza ukamsaidia.ongea nae mumtafute daktari atakae mnasihi na kumtibia kwani naamini Mchicha mwiba anapona akitaka kwani bado hajafikia kuwa si riziki.
 
pole mtoa mada kwa mtihani. my simple advice is to leave bcoz
  1. mpenzio hakuheshimu/hakujali. yupo nawe ili kujistiri. muache tafuta m/me atakayevutiwa nawe na kukupenda. itauma kusikia hivi lakini huo uhusiano hauna future na bora uwe single parent kuliko kuishi na huyo mwanaume
  2. risk ya magonjwa. unaweza kupata magonjwa hasa kama mwenzio hatumii kinga.faida gani kuvumilia wakati unahatarisha maisha yako na future ya wanao.he is not worth it
  3. usihofu kuhusu familia yako kupata aibu. unaweza kuwaambia hamkuwa 'compatible' wewe na huyo kijana bila kumuanika kwamba mwenzio analiwa. ni ngumu kuamini now but in a year or so utamsahau na kuendelea na maisha yako. dont let the fear ya aibu ikufunge bcoz wewe ndio utaumia
  4. piga moyo konde na walee wanao. jiajiri au tafuta kazi na uwe independent woman, its possible coz u're not the 1st single parent dunia hii na hautakuwa wa mwisho.
 
Duuuh pole sana, vunja mahusiano ukapumzike kwenu na uanze maisha kivyako kinyume na hapo kuna hatari ya maambukizi ya virusi vya ukimwi.

Pia ukapime virus vya ukimwi.
 
Bora uwahi kuondoka maana nasikia hawa watu (mashoga) huwa hawatumii kinga kwahiyo HIV njenje ,

Tena mgeanza kutumia condom kwa sasa,
 
Pole kwa kuwa na mahusiano na Mchicha mwiba!kama unampenda kweli na anakusikiliza unaweza ukamsaidia.ongea nae mumtafute daktari atakae mnasihi na kumtibia kwani naamini Mchicha mwiba anapona akitaka kwani bado hajafikia kuwa si riziki.

Sikio la kufa halisikii dawa! Ikiwa kama mama mzazi ameshindwa, na hata wanataka kumwondoa katika ukoo, je unadhani binti 'mtoka mbali' anaweza kubadili hali?
 
jamani jamani jamani!!! wewe ukiumia na hili mwenzakoaumia kwa lile...dunia hiii! fanya uamuzi kisha
kuwa jasiri mwaya lea mwanao na sali sana upate faraja!
 
Huwa nawaza uboo ulivyomnene halafu upenyeze kunako mahali. Enewe pole mdada, nenda ukaombewe hio itakuwa historia na mhame mtaa muanze upya maisha.
 
huyo mwanaume ulizaliwa nae? Au anashikilia pumzi yako kiasi kwamba unashindwa kuondoka?
 
MAYOUB lakini hao wanaojidai kuwa walikuonya mapema kuwa huyo mumeo sio riziki kiasi fulani ni wapuuzi. Hivi wangeweka wazi kwako tabia yake hata ungempenda vipi si ungeshtuka? Hawakukutakia mema kwa hiyo usijilaumu sana. Pole na endelea na uamuzi wako wa kuchapa mwendo.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna jambo jema kama kung'amua tatizo mapema na kulitendea kazi.
Katika maelezo yako umetudokeza kuwa kabla hamjaanza kuishi wote ulisikia tetesi kuwa jamaa sio riziki. (Hili lilikua kosa namba moja kwani hukupeleleza mwishowe umekuja kugundua kuwa hata mamaye anafahamu hali ya mwanae).
Sasa waungwana huwa wanasema kosa si kosa bali kosa ni kurudia kosa. Sasa hivi umeshabaini kwamba mwanaume unayeishi naye ni shoga (Kumbuka huyu si mumeo), una kila sababu ya kutoendeleza mahusiano zaidi ya hapo mlipofikia.
Kitendo cha mwanaume huyo kukaa kimya maana yake alikua anafanya makusudi hadi utapong'amua.
 
Maswali ya kujiuliza je ni kweli mwanaume akiwa analiwa hataweza kuwa rijali tena? Tuanzie hapo alafu vitu vingine vinatokeaga kwa kuviacha ukishasikia kitu mara zaidi ya moja ni bora kuuliza sasa limeshakua kubwa huwezi tena
 
Back
Top Bottom