Utafanyaje ikikutokea?

Utafanyaje ikikutokea?

Wa Nyumbani

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
438
Reaction score
67
Utafanyaje? unapoingia chooni na kukuta mtu kanya pembeni ya choo muda mfupi tu uliopita, unafikiria na unaamua kuahirisha, unatoka. Mara mlangoni unapishana na msichana mrembo unayemtamani siku zote hapo kazini kwenu anataka kuingia chooni. Utafanyaje?
 
Kabla hatujapishana namvuta pembeni halafu namtongoza, ili hata akiingia chooni akakikuta atakachokikuta hatakuwa na mdomo kwa sababu kila akifikria katoka kutongozwa hatanyanyua mdomo kwa mtu yeyote
 
Narudi Toilet najidai nimesahau huko kitu.....
 
Utafanyaje? unapoingia chooni na kukuta mtu kanya pembeni ya choo muda mfupi tu uliopita, unafikiria na unaamua kuahirisha, unatoka. Mara mlangoni unapishana na msichana mrembo unayemtamani siku zote hapo kazini kwenu anataka kuingia chooni. Utafanyaje?
 
nitajifanya nalalamika dah watu sio wastaarabu kabisa......akiuliza kwa nn nampa habari nzima.
 
Ili twende sawa na mi naongezea mambo then kama lawama poa.
 
Uuuuuwi, narud fasta nikicngizia tumbo la kuhara!!...acjekuta mambo yameharibk nikakosa utamu bure!!!!!
 
:lol::lol::lol: Huo mtihani huo....akili ku mkichwa
 
lol!...... laugh out loud!!!! nimecheka hadi michozi imetoka watu hapa job wameniuliza wacheka nn? asubuh yote hii mi ndo nazidi vunjika mbavu lol mmenianzishia wikend yangu vizuriii kwa kucheka na ninavopenda kucheka kuliko hata kula rusha ingine tenaaa....
 
mi nakimbia na kumwambia nyoka najua atatoka nduki tu.
na asipotoka nduki hata kumtongoza atakusumbua.
 
lol!...... laugh out loud!!!! nimecheka hadi michozi imetoka watu hapa job wameniuliza wacheka nn? asubuh yote hii mi ndo nazidi vunjika mbavu lol mmenianzishia wikend yangu vizuriii kwa kucheka na ninavopenda kucheka kuliko hata kula rusha ingine tenaaa....

imeshawahi kukutokea au kumtokea mtu hapo ofisini kwenu nn ?!
 
Back
Top Bottom