Haileti mantiki kudrive gari ya mwanaume mwingine na huku unamwanaume mwingine(mume)Hahahaha utaambiwa ni zawadi tu isiyonamadhara au utadanganywa kuwa katoa ancle, ila mrudishaji sijamwona zama hizi
Only materialistic and simple women.Hakuna mwanamke atakubali kurudisha gari hiyo
duhKwa mwanaume wa Dar tena ndo atakuwa mwendeshaji wakuu wa hiyo gari
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mie nachukua gari aisee
kwani kuna ubaya ganiHutakiwi kukubali zawadi kutoka kwa ex wako,haijalishi unaolewa au bado uko single unless bado unamuhitaji.
Naona umekacha swaliSijajua nitafanya uamuzi gani labda mpaka ikinitokea ukweli hapo hapo ndipo napoweza kutoa majibu sahihi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona umekacha swali