Utafanya nini ukimfumania mkeo/mumeo akichepuka?

Utafanya nini ukimfumania mkeo/mumeo akichepuka?

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Utachukua maamuzi gani endapo utamkuta live akifanya ngono. Je?
1. Utamuacha na kutengana naye.

2. Utampiga huyo anayechepuka naye.

3. Utampiga huyo mwenza wako.

4. Utawapiga wote wawili.

5. Utasamehe tu na kufanya ni siri ya ndani.


Nini hasa utafanya.
 
2,3 na 4 Siyo maamuzi sahihi. No.1 na yakwangu 1, MUACHE ama MSAMEHE NA UENDELEE NAYE. Ikiwa moyo wako unataka.
 
KunA piStoL zinAitWa beReTta kaZi yaKe NafiKiri uNaiJua mkUu.
Au ntaEnDa hArdwaRe ya KariBu ninuNue maChEte ile nIkiRudi lAzma niGaWaNye fiGo na VipaNde vIngine vYa mwiLi kwenye SufuRia.
 
kulingana na maandiko matakatifu ni kwamba msingi wa kutalikiana ni UZINZI tu.

Hivyo ni vyema kuvunja ndoa hiyo. Mtu ambaye si mwaminifu katika ndoa ndiye anayeleta matatizo hata zaidi.
 
KunA piStoL zinAitWa beReTta kaZi yaKe NafiKiri uNaiJua mkUu.
Au ntaEnDa hArdwaRe ya KariBu ninuNue maChEte ile nIkiRudi lAzma niGaWaNye fiGo na VipaNde vIngine vYa mwiLi kwenye SufuRia.

yote ya nini hayo? kuozea jela tu.
Mzinzi dawa yake talaka.
 
Utachukua maamuzi gani endapo utamkuta live akifanya ngono? Je;
1. Utamuacha na kutengana naye

Nitafanya hivyo bila kusita na sitokuwa na majuto.

2. Utampiga huyo anayechepuka naye

Kamwe sitafanya hivyo. Ya nini nipoteze nishati yangu kwa mtu kama huyo? Hapana aisee. Nitamwacha tu kama alivyo.

3. Utampiga huyo mwenza wako

Hakuna haja ya kumpiga. Umpige ili iweje ilhali kachepuka kwa kutaka na kupenda mwenyewe? Mapenzi ni hiari bana na kamwe si shurti. Hivyo akiamua kufanya hivyo ni ameamua kuachana na mimi.

4. Utawapiga wote wawili

Nishati yangu, amani yangu, na uzima wangu vina thamani kubwa mno kuliko hao wachepukaji hivyo sioni kabisa sababu itakayonipelekea niwaanzishie sokomoko. Huwa sipiganii mambo yasiyo na thamani kwangu. Ila wao wakinianzishia ndo patachimbika bila jembe wala sururu.

Nini hasa utafanya?

Huyo wangu nitamwacha bila majuto wala wasiwasi wowote ule halafu nitaendelea na maisha yangu tu.
 
Nam Naunga Tela Animalizie Shugul Palepale Kwanza,
 
Labda mm ni tatizo ndo maana akachepuka....mi nadhan nae ni mtu mpaka ameamua kuchukua maamuz ya kuchepuka bas aheshimiwe ni wajibu wangu mm kuwa problem solver na sio mwongezaji matatizo
 
Bwana Yesu, asema "hakuna kutengana mpaka kifo tu" wala si kwa sababu ya uzinzi bali uasherati ambao ni kwa WACHUMBA TU.
 
Mkristo wa kweli anajua ameagizwa kusamehe hata 7 x 70 kwa siku.
KUSAMEHE NI LAZIMA KUAMBATANE NA KUSAHAU PAPO KWA PAPO.
 
Uzinzi ni
1.Kuchepuka nje ya ndoa.
2.Kuoa mke aliachwa bila kifo
3.Kuolewa na mme wa mtu au mme aliacha mke
{LUKE 16:18}
 
Hakuna talaka katika imani ya kweli ya ukristo wa Agano Jipya.Ni watu wagumu wa mioyo wanatoa talaka kwa kupenda ZINAA.
 
Mwanafunzi wa kweli wa Yesu Kristo,atabeba msalaba wake katika ndoa; yaani majaribu ya ndoa yake.
{MARKO 8:34;MK10:2-12}
 
Ntafanya kile ntakachokiona ni sahihi wakati huo! Ntakachokisema hapa na kitakachotokea huenda vikawa tofauti sana.
 
Back
Top Bottom