kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
- Thread starter
- #21
Nitafanya no 5
Duh! Una moyo!
Nitafanya no 5
Utachukua maamuzi gani endapo utamkuta live akifanya ngono. Je?
1. Utamuacha na kutengana naye.
2. Utampiga huyo anayechepuka naye.
3. Utampiga huyo mwenza wako.
4. Utawapiga wote wawili.
5. Utasamehe tu na kufanya ni siri ya ndani.
Nini hasa utafanya.
NI asilimia 8.7543%Mkristo wa kweli anajua ameagizwa kusamehe hata 7 x 70 kwa siku.
KUSAMEHE NI LAZIMA KUAMBATANE NA KUSAHAU PAPO KWA PAPO.
Mwanafunzi wa kweli wa Yesu Kristo,atabeba msalaba wake katika ndoa; yaani majaribu ya ndoa yake.
{MARKO 8:34;MK10:2-12}
Ntampongeza kwa kunisaidia kazi.
Labda mm ni tatizo ndo maana akachepuka....mi nadhan nae ni mtu mpaka ameamua kuchukua maamuz ya kuchepuka bas aheshimiwe ni wajibu wangu mm kuwa problem solver na sio mwongezaji matatizo