Utafanya nini nikiamua kukupa??

sitaki hata kusikia mabikra wa kiume! nataka ninate na bits we utakuwa unaugugumia tu, nataka mwendo wa farasi na slaps zake, we utakuwa unashangaa tu! si kwa ubaya, ila kapate experince halafu uje utangaze tena! kha! Eiyer shemeji yangu kwa Kaunga hujambo weye! halafu itake radhi dhahabu, halafu mabikra ndio zenu hizo, mara nimekupa cha thamani, mara nilijitunza, khaaaaaaaaaaaaaaaa!

Cacico nimekupendaje ghafla?!
 
Last edited by a moderator:
Naamua kukupa penzi langu,nimeamua kukupa mamlaka ya funguo adimu za penzi nililolitunza bila kuguswa kwa mika zaidi ya 32. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Nimeamua kukukabidhi WEWE,je utafanya nini?Unajua nilivyopitia changamoto za kutosha kabisa kulea na kulitunza,hebu niambie wewe mwanamke utalitunzaje?Ni sawa na umekabidhiwa mfuko wa dhahabu uliotunzwa kwa miaka mingi,niambie utakachofanya!!

Umeamua kunipa upendo au unanipa hazina niivumbue?
Sijaelewa...
 
Naamua kukupa penzi langu,nimeamua kukupa mamlaka ya funguo adimu za penzi nililolitunza bila kuguswa kwa mika zaidi ya 32. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Nimeamua kukukabidhi WEWE,je utafanya nini?Unajua nilivyopitia changamoto za kutosha kabisa kulea na kulitunza,hebu niambie wewe mwanamke utalitunzaje?Ni sawa na umekabidhiwa mfuko wa dhahabu uliotunzwa kwa miaka mingi,niambie utakachofanya!!

ni sawa na graduate asiye na experience,huwezi shine kwenye interview,watu wanataka experience bana
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom