ahh bikra si kitu bana....
1.utakuwa mgen mchezoni so utanipa kazi kukuelekeza so yabidi wewe ufikirie kunipa nini mimi kwa kwenye NTAKAYOKUFUNDA
2.32 yrs stl bikra thats shows how much ur DIFFICULT...so ata mahusiano yetu utansumbua sana kila kitu utajifikiria wewe tu na kujihesabia haki cz umejiaminisha una FUKO LA DHAHABU
3.Uwezekano wa viungo vyako kusizi kufanya kaz ni mkubwa zaidi....ile theory gan inasema et usipotumia kitu/kiungo chako mda mrefu/mwafaka bas kinadidimia/kudhoofika...
4.maisha ya sasa ni ufanisi wa kazi na ready to work after admission sasa kupotezeana mda wa kuwekeana X ili ujifunze ni kupotezeana mda afta loohh kumfunda mtu wakat ashakaribia miaka ya kuzeeka ni aghali sana na tabu kubwa cz awaelewi haraka....
NB;
sina dhamira ya kukuvunjia kanuni yeyote ya 64 wala 68....nawasilisha.
khaaaaaaaaaaaaaaaaaa! hubby, si umpe course kidogo, mwambie huwa unatufaidije wake zako!Waathirika wa punyeto hawajifichagi asee. Utatuchafulia dada zetu na bao za kijogoo. BTW mkono sweta ushakarabatiwa?
khaaaaaaaaaaaaaaaaaa! hubby, si umpe course kidogo, mwambie huwa unatufaidije wake zako!
sikuchukui....utanchosha bure tu.....
kwa kweli ubikra, tena wa kiume hauswiii! ila raha za Kaunga hizi, huwezi jua style zao! hubby sa mi mbona mith u?Samaki mkunje angali mbichi. Unampeleka mzee chekechea? Utafiti nloufanya kwa hisani ya wakware unaonyesha wanaume wanaoanza kujamiiana baada ya miaka 30, hawawarizishi wake zao na wake zao wanakuwa hawana jinsi bali kuomba kufikishwa kileleni na mijanaume ya haja.
Waathirika wa punyeto hawajifichagi asee. Utatuchafulia dada zetu na bao za kijogoo. BTW mkono sweta ushakarabatiwa?
kama mfuko wa dhahabu??/ acha kuuthaminisha uchi na dhahabu wewe!!! dhahabu ni pesa wewe, chezea pesa eeehhh???
Naamua kukupa penzi langu,nimeamua kukupa mamlaka ya funguo adimu za penzi nililolitunza bila kuguswa kwa mika zaidi ya 32. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Nimeamua kukukabidhi WEWE,je utafanya nini?Unajua nilivyopitia changamoto za kutosha kabisa kulea na kulitunza,hebu niambie wewe mwanamke utalitunzaje?Ni sawa na umekabidhiwa mfuko wa dhahabu uliotunzwa kwa miaka mingi,niambie utakachofanya!!