Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,176
- 19,846
Kamujage nokho!Kuna two candidates
Candidate A
Ana elimu ya chuo
Ameajiliwa na serikali
Sio mchangamfu
Shape kawaida
Mfupi na mweusi
Kipato kizuri
Unamkubali 50%
Candidate B
Elimu kidato Cha 4
Mdogo kiumri kuliko candidate A
Anafanya bihashara ndogondogo
Mchangamfu
Mweupe
Mrefu ana shape
Kipato kidogo sana
Unamkubali 90%
Tabia kama umalaya,kupiga mizinga wote ni constant Wana good behaviors.
Utaenda na yupi?