Utaenda kwa shemeji au?

Utaenda kwa shemeji au?

Kwanza wew ni jinsia gani? Unaweza kwenda kama wew ni demu akakugegeda kama kawa
 
Nami nikuulize kaswali; Hivi wangelikuwa wanaendelea na mahusiano, siku mara paaa ukawakuta ofisini kwa shemeji kwenye hali ya kukuonesha kuwa, muda si mrefu wamemaliziana hamu zao juu ya meza ya shem. Ungeingia na hizo Cv zako au ungeenda Hosp nyingine?? Nenda kwani kinachokupeleka pale ungeweza kukitumia kwingine na hapo akaja mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom