Utacheka-vijana wanasema ni kumega

Utacheka-vijana wanasema ni kumega

ANTA

Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
66
Reaction score
7
Mabint hupenda kutumia neno...ku do.
wamama wanaita kufanya
wazee wanaita kunyosha viungo

je wewe unaitaje?...........

Madent je.............

 
Kupunguza uzito, kula, ahahahaaaaa mleta mada unanichokoza bwana SIJAMEGA mda mrefu sana mpaka jamaa wangu wa katikati anadai karibu atapata kutu. Ngoja leo baada ya masomo nikapige msako.
 
kshona,ku download,ku tia,kufanya matusi,kula,kupiga horizonto mambo,ku mega,ku rarua,ku nyuka
 
hivi shule bado hazijafunguliwa ...
??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom