Elections 2010 Utabiri wangu

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Mimi si Sheikh YAHYA HUSSEIN au NOSTRADAMUS. Ila ninatabiri kuwa CHADEMA itaishiwa pumzi na kufifia(kama lilivyofifia gazeti la Mwanahalisi) mwaka 2012 na hivyo kuipa nguvu zaidi CCM kupata nguvu zaidi na hivyo kushinda kwa kishindo mwaka 2015.
 
Kufifia na kuishiwa nguvu kivipi yaani? yaani hujaona nguvu ilivyoongezeka this time mpaka ccm imetetemeka!!! Mambo ni mbele kwa mbele bwana ndugu, kalaghabaho!!
 
Mimi si Sheikh YAHYA HUSSEIN au NOSTRADAMUS. Ila ninatabiri kuwa CHADEMA itaishiwa pumzi na kufifia(kama lilivyofifia gazeti la Mwanahalisi) mwaka 2012 na hivyo kuipa nguvu zaidi CCM kupata nguvu zaidi na hivyo kushinda kwa kishindo mwaka 2015.
MS kwa mara nyingine tena, aisee unakera kama harufu ya mavi.
 
Ndivyo mnavyoidanganya cc ya ccm.about 5yrs back watu walihisi hivyo nadhani umeshuhudia tsunami la cdm.
Labda cdm itafifia lakini sio NGUVU YA UMMA!
 
Mkuu Ghbm usimtukane Mkuu KAUMZA hayo ndio mawazo yake ameshasema kuwa yeye sio Mtabiri wala siyo Sheikh YAHYA HUSSEIN au NOSTRADAMUS usifananishe maneno ya mtu na Mavi Ban itakuhusu Mkuu Bhbm Kila Mtu ana haki ya kuzungumza mawazo yake il mradi havunji sheria za Jamii forums.
 
Mimi si Sheikh YAHYA HUSSEIN au NOSTRADAMUS. Ila ninatabiri kuwa CHADEMA itaishiwa pumzi na kufifia(kama lilivyofifia gazeti la Mwanahalisi) mwaka 2012 na hivyo kuipa nguvu zaidi CCM kupata nguvu zaidi na hivyo kushinda kwa kishindo mwaka 2015.
Mkuu KAUMZA Utabiri wako ni kama Ndoto za Mchana .Mimi Nilifikiri utasema kuwa CCM mwisho wake utakuwa mwaka 2015 hapo ningekusikiliza lakini umesema kinyume na hivyo . Ni mawazo yako unayoyafikiria watu hufikiria Maendeleo ya nchi wewe unafikiria Kuangamia kwa nchi ahhhh sawa tu.
 
Mimi si Sheikh YAHYA HUSSEIN au NOSTRADAMUS. Ila ninatabiri kuwa CHADEMA itaishiwa pumzi na kufifia(kama lilivyofifia gazeti la Mwanahalisi) mwaka 2012 na hivyo kuipa nguvu zaidi CCM kupata nguvu zaidi na hivyo kushinda kwa kishindo mwaka 2015.
Inaonekana hukwenda shule na kama ulienda ulisoma kwa mkopo wakati babaya ya akiwa nifisadi wa kutupwa! hayo ni mawazo mgando kwa mtu yeyote aliyepevuka ktk kizazi hiki cha dot com, watu hatuishi ktk mfumo wafikra za akina chifu Mangungo
 
Mimi si Sheikh YAHYA HUSSEIN au NOSTRADAMUS. Ila ninatabiri kuwa CHADEMA itaishiwa pumzi na kufifia(kama lilivyofifia gazeti la Mwanahalisi) mwaka 2012 na hivyo kuipa nguvu zaidi CCM kupata nguvu zaidi na hivyo kushinda kwa kishindo mwaka 2015.

Utabiri mwingine bana, utabiri wako ni sawa na kutabiri kuwa 2012 jua litachomoza magharibi na kuzama mashariki.
 
Tusubiri tuone. Maana waswahili wanasema NGOMA IKIVUMA SANA MWISHOWE HUPASUKA
 
Ndivyo mnavyoidanganya cc ya ccm.about 5yrs back watu walihisi hivyo nadhani umeshuhudia tsunami la cdm.
Labda cdm itafifia lakini sio NGUVU YA UMMA!
Kweli Yaani anamaanisha vita ya mafisadi iiishe, HAWA NDO WAKINAMAKAMBA AKILI HAKUNA KICHWANI KABISAA, CCM PAMBANENI KWA NGUVU ZOOTE NA UFISADI SI KWA KUUUA WATU PUMBAVUUU SENU NTIE.
 
Mimi si Sheikh YAHYA HUSSEIN au NOSTRADAMUS. Ila ninatabiri kuwa CHADEMA itaishiwa pumzi na kufifia(kama lilivyofifia gazeti la Mwanahalisi) mwaka 2012 na hivyo kuipa nguvu zaidi CCM kupata nguvu zaidi na hivyo kushinda kwa kishindo mwaka 2015.

Nafikiri matokeo ya utabiri huu itabidi yaunganishwe na kuletwa pamoja na yale ya Mkuu wako Shehe yahaya kwamba mgombea urais ambae angegombea/pingana na mgombea wa CCM angekufa.
Result slip yake itakuwa nzuri sana katika kukusaidia kupata cheo katika freemason.
 
Mimi si Sheikh YAHYA HUSSEIN au NOSTRADAMUS. Ila ninatabiri kuwa CHADEMA itaishiwa pumzi na kufifia(kama lilivyofifia gazeti la Mwanahalisi) mwaka 2012 na hivyo kuipa nguvu zaidi CCM kupata nguvu zaidi na hivyo kushinda kwa kishindo mwaka 2015.

Endelea tu kubana korodani dogo. Sh.it happens
 
Mimi si Sheikh YAHYA HUSSEIN au NOSTRADAMUS. Ila ninatabiri kuwa CHADEMA itaishiwa pumzi na kufifia(kama lilivyofifia gazeti la Mwanahalisi) mwaka 2012 na hivyo kuipa nguvu zaidi CCM kupata nguvu zaidi na hivyo kushinda kwa kishindo mwaka 2015.

Dalili za Malaria Sugu huanza polepole:eyeroll1:
 
Back
Top Bottom